Watu wengi wanapenda uchawi (shiriki)

Uyo kafikia stage mbaya sana
mkuu chunguza uone,yaani kuna watu maisha yao ni kwa waganga tu,akitaka kusafiri lazima ampigie mganga amwangalizie kama njia ni salama,kama akiambiwa sio salama hawezi kusafiri,anahofia inaweza kumkuta ajali

kuna watu humu wanaamini sana waganga,maisha yao yote ni waganga
 
Amani ilikuja baada ya kuacha maombi?pole mkuu,ukiwa upande wa Mungu mtu wa kuomba utajaribiwa Sana
 
Amani ilikuja baada ya kuacha maombi?pole mkuu,ukiwa upande wa Mungu mtu wa kuomba utajaribiwa Sana
Yah yaani niliona inazidi yaani mpaka watu wa karibu nikaacha siwezi omba maombi ya vita au kuonyeshwa adui balia kuondolewa adui na kupata amani huwa nikaaza maombi ya vita mambo yanakaza sana mpaka sioni pakutokea
 
Huyo tunate kwenye familia mbona yeye hadi akianguka tu simu moja kwa mganga embu chungulia huko
 
Nitakufaje masikini na wewe best yangu upo, najua nikifulia huwezi nitosaπŸ˜›
Mimi hapa nimeambiwa nisile samaki wikii hii na nisivae nguo nyeusi yoyote ile dah πŸ˜‚πŸ˜‚ uzalendo utanishinda
 
Yah hata nyota inakutaka ufanye kazi kwa bidii na nidhamu uwezi kuwa unaamini kuhusu nyota af umekaa ndani tangu asubuhi mpaka jioni

Nyota has nothing to do with maisha yako. Huo ni uzwazwa wa kufikirika tu

Nyota ni story za kusadikika kama zilivyo story za ushirikina.

Mtu anaefanya kazi kwa bidii na maarifa atafanikiwa tu hahitaji kujua sijui rangi ya kuvaa au siku ya kufanya jambo ili afanikiwe. Huo ni uzwazwa unaoaminiwa na watu vilaza kiwango cha PhD.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…