Watu wengi wanapenda uchawi (shiriki)

Dah maarifa tunayo ila haya mambo yapo usijifanye hujui yapo
 
Mtoa mada umekuja na topic nzuri ila sasa ww mwenyewe ni mshirikina ety tumia nyota ivi unajua unachokiongea lakini?
Unaijua Elimu ya Falaq ww?

Yni m nabaki kucheka tu mtu ata baskeli hana ety ana nyota ana miliki nyota huu ni upumbavu na ujinga wa hali ya juu kabisaaa

Mtoa mada acha kuwaingiza watu kwenye ushirikina
Yni watu kma nyie ndo wale nyani haoni kundule
 
Dah maarifa tunayo ila haya mambo yapo usijifanye hujui yapo

Na wewe unaamini kuna rangi inabidi uvae siku fulani ili ufanikiwe?

Unadhani kuna mambo huwezi fanya just because of your zodiac sign?

Nyie ndo mnaoanza kuuliza partner wenu signs zao na kuanza kuwajudge based on that.

Una tofauti gani na mtu anaeambiwa asioge mwaka mzima ili awe tajiri au alale na nduguye kupata mali? Different sides of the same coin.

Kuamini uchawi na/au nyota ni uzwazwa.
 

Different sides of the same coin. Wote wale wale tu.
 
Ila waganga wa vijijini wanaofuata masharti wako poa. Nyota yako inaweza kuchafuliwa au kuchukuliwa na wachawi usipopata mganga mzuri wa kukuganga. Ukiambiwa maisha ni mchezo ni mambo kama hayo.
 
Kuamini mambo ya nyota ni kuacha nature ndio ikuamulie mustakabali wa maisha yako, inatakiwa uicontrol nature na sio nature ndio ikukocontrol.
Waafrika nature ndio inawaamulia wafanye nini
 
Nilizikwagwa na sikufa ndio chupu chupu yangu ya kupona maradhi hatari sanaa
 
Ika bora nyota kuliko shiriki shiriki watu wanauwana
 
Uchawi na nyota ni tofauti bhna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…