Hutoboi🔨Wale wa short cut......
View attachment 3626381
Kwa sababu fulani ana hela,anataka na yeye apite njia zile tajiri alipitia,nakwambia hautoboi!
Lakini bwashee sijaona pahal kagusia gambe😆😆Safi naunga mkono , hoja yako nzuri kabisa
Gambe kama hauna uchumi uliosimama kidogo, utapotea kwenye ramani bwashee
Msumari wa moto kwa wazee wa smart GinGambe kama hauna uchumi uliosimama kidogo, utapotea kwenye ramani bwashee
Hivyo tu sioUtajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana,
It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha.
Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika lazima kitakulipa tu hapo badaye na uwe na nidhamu ya kile kidogo unachopata believe me lazima utaona matunda ya kazi yako.
utajiri hauji kama mvua
Gambe inakula hela bwashee, labda upige zako balim au igo , ila ukitaka kulewa kijanja lazima upasukeMsumari wa moto kwa wazee wa smart Gin
Uwezi kutajirika bila kucheza RAFU.Utajiri ni mchakato wa muda mrefu,watu wengi wanashindwa kuelewa hili na kuanza kusema kuna utajiri wa nguvu za Giza Hilo ni hapana,
It takes time inaweza kuchukua miaka 10,20,30 kutengeneza utajiri na ndani yake kuna sacrifice za kutosha.
Kile unachokifanya sasa kifanye kwa bidii hakika lazima kitakulipa tu hapo badaye na uwe na nidhamu ya kile kidogo unachopata believe me lazima utaona matunda ya kazi yako.
utajiri hauji kama mvua
Unavyosema ni kama hatujawahi kuzitafuta kwa njia hiyo bwasheemshua yote uliyosema nikweli ila hapo kwenye nguvu za giza kusema hapana ndo umekosea.. wapo hao jamaa wa nguvu za giza sana ni vile hujapata kukutana nao