Watu wengi wanashindwa kuelewa utajiri ni mchakato wa muda mrefu

Kwa wadundulizaji wa fedha, ila kwa wawekezaji unalala na sifuri, unaamka bilioni. Katika ulimwengu huu wa ujuzi na weledi wa teknolojia, kisayansi. Mfano, babu wa Loliondo, tatua changa moto ya kansa au figo na moyo, uone kama utajiri haujaukimbia!
 
Nakubaliana na wewe utajiri wa nguvu za giza upo ila wenyewe hauchukui muda mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…