Watu wenye akili hatupendwi, jamii inatuchukia na kututenga sana

We angalia tu around you. Watu wenye akili wanatengwa na jamii. Inawaona wanajisikia au wajeuri au wana majidai. Sababu kwa asilimia 90 jamii ina wendawazimu wengi kuliko wenye akili.

Mi najiona kabisa kila nikitoa hoja watu wanapinga sababu hawaelewi. Ila wachache wenye akili ndo wanaelewa.

Mi nachukiwa sana humu JF. Nadhani naongoza. Lakini ukitizama ni sababu tu NINA AKILI,NINA PESA, HENDISAMU NA NAPENDEZA KINYAMA. hii inasababisha nichukiwe sana. Nimekuwa nikitoa ma idea makali watu wanaenda pigia pesa huko kitaa.

Nyuzi zangu kadhaa watu wameenda ombea mkopo na nyingine zimetumika kufundishia vyuoni. Ila waswahili wananichukia sana. Ni wivu tu....hamna kingine. Na nitawala sana dada zao mbwah hawa. Ndo waelewe aliyepewa kapewa tu.
Wapi GENTAMYCINE?
 
Unaambiwa usiwaguse MASIHI wa Bwana, na pia unaambiwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Tangu amemvamia UMUGHAKA, anaambulia za chembe kwenye kila analolifanya
Kupanga ni kuchagua.... Mi nimechagua hivi.... Kuna ambao wanatukanwa sababu ya kumpongeza Magufuli, Samia,Mbowe n.k. mimi nimechagua hivi. Hili ni jukwaa huru. Na wewe chagua kuwa chawa wa mtu flani ili upendwe....😂
 
I can repeat one Men down..over ! Do you copy..? ...over
 
Utaona mtu mwenye akili hata anapotukanwa harudishii...yaani unamwona yupo so cool.😂😂😂😂
 
We angalia tu around you. Watu wenye akili wanatengwa na jamii. Inawaona wanajisikia au wajeuri au wana majidai. Sababu kwa asilimia 90 jamii ina wendawazimu wengi kuliko wenye akili.

Mi najiona kabisa kila nikitoa hoja watu wanapinga sababu hawaelewi. Ila wachache wenye akili ndo wanaelewa.

Mi nachukiwa sana humu JF. Nadhani naongoza. Lakini ukitizama ni sababu tu NINA AKILI,NINA PESA, HENDISAMU NA NAPENDEZA KINYAMA. hii inasababisha nichukiwe sana. Nimekuwa nikitoa ma idea makali watu wanaenda pigia pesa huko kitaa.

Nyuzi zangu kadhaa watu wameenda ombea mkopo na nyingine zimetumika kufundishia vyuoni. Ila waswahili wananichukia sana. Ni wivu tu....hamna kingine. Na nitawala sana dada zao mbwah hawa. Ndo waelewe aliyepewa kapewa tu.
Oyi, stop bragging about yourself...!
 
Kweli wewe ni chizi maarifa ni Mhaya nini mbona sifa kibao ungekua na akili tungekuona kwenye orodha ya matajiri duniani watu wenye akili ni matajiri nyinyi wa kukariri makaratasi ni ubishi tu.
 
Bob unataka nitembee nimebandika kwenye shati mali nlizo nazo? Uhaya pia hauhisiani kabisa na mimi kujitambua. Unajua kila mtu ana haki ya kujitambua alivyo.
 
Back
Top Bottom