Watu wenye akili hatupendwi, jamii inatuchukia na kututenga sana

Watu wenye akili hatupendwi, jamii inatuchukia na kututenga sana

I don't think you have reached that stage. You have got to reach the stage of self determination first, before you can reach the stage of self recognition.
The process you have passed through aint no for all formula. 😁
 
Tunaomba radhi kwa wale wote watakaokwazika mwandishi ni mmoja wa wagonjwa katika hospital yetu ya crazy for life.

Ndugu Chizi Maarifa , alifanikiwa kutoroka jana na kuiba simu ya ofisi.

Tunashukuru kwa ushirikiano wenu na tunaahidi tutalishughulikia swala hili hivyo mvumilieni
 
Safi sana. Wewe ulibaki peke yako room? Halafu sabuni yako ndo unaita simu ya ofisi?😁😁😁
 
Kuwa hana nafahamu ..sasa kasema anazo ngoja wamsachi usikute kazificha
Angeficha kama angekuwa nazo... Hana halafu hajui kama hana....wanaweza msachi akawa anakataza wasiguse mifuko mingine kumbe humo kaficha mawe.....πŸ˜‚
 
Angeficha kama angekuwa nazo... Hana halafu hajui kama hana....wanaweza msachi akawa anakataza wasiguse mifuko mingine kumbe humo kaficha mawe.....πŸ˜‚
Nashauri wamkague katikati ya makalio anaonekana ndo anachotafuta
 
We angalia tu around you. Watu wenye akili wanatengwa na jamii. Inawaona wanajisikia au wajeuri au wana majidai. Sababu kwa asilimia 90 jamii ina wendawazimu wengi kuliko wenye akili.

Mi najiona kabisa kila nikitoa hoja watwanapinga sababu hawaelewi. Ila wachache wenye akili ndo wanaelewa.

Mi nachukiwa sana humu JF. Nadhani naongoza. Lakini ukitizama ni sababu tu NINA AKILI,NINA PESA, HENDISAMU NA NAPENDEZA KINYAMA. hii inasababisha nichukiwe sana. Nimekuwa nikitoa ma idea makali watu wanaenda pigia pesa huko kitaa.

Nyuzi zangu kadhaa watu wameenda ombea mkopo na nyingine zimetumika kufundishia vyuoni. Ila waswahili wananichukia sana. Ni wivu tu....hamna kingine. Na nitawala sana dada zao mbwah hawa. Ndo waelewe aliyepewa kapewa tu.
Mhhhh chizi karogwa tena
 
Back
Top Bottom