Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Stroke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu ndo hapo sasa sijui aliwaza nini mwingine anajiita NYANI MZEEnyani...... ngabu..... du sijuh jamaa alifikiria nin....
Ha ha ha ha !ww jamaa wa ajabu aisewe amesema uongeze! hata ww mwenyewe umeshindwa kuujiongeza sasa yye angekukumbukaje??Hata mimi sipo? Mkuu nipe heshima yangu basi!
mkuu hilo jina lako nalo si mchezo kisu cha ngaribaUyu @Lizabon katoka kwenye ukoo wa shetani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bora ingekuwa hivyohuyu @lizabon sijui ndo kifupi cha eliza amezaliwa au?
teh teh teh teh teh mchepuko wa mkulumchepuko wa mkulu, @mchambawima
hahahahahahah hii ndo ID inayonichekeshaga humu ndanNantombe mushi
Katika miaka 3 niliyojiunga humu JamiiForums nimekutana ID mbalimbali zenye majina mabaya na nyingine hata kuzisoma na kutamka ni kazi.Kama zifuatazo : NYANI MZEE ,jichawi , Bujibuji ,@mzabmzab , @chinchlla coat , nyakandula ,Erythrocyte ,Wervemarcel ,@jacspyro,GENTAMYCINE ,makalio ya kienyeji ,Mzizi wa Mbuyu,MziziMkavu ,Nyani Ngabu,@zeduduz ,@mpigamsuli,@mavimavi ,@ndyoko,kyamafi, @ulukulokwitanga,@kifilio ,Naibili nk wadau mnaweza na nyie mkaongeza kwa kuweka ID mlizokutana nazo humu