matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
1: Mimi au sisi ni masikini
Mtu anayekiri umasikini ataishia kuwa masikini tu na ukimuendekeza atakuambukiza.
2: Maisha ni magumu
Haisaidii kitu kukiri ugumu wa maisha. Tumia Muda mwingi kutafuta suluhisho. Ukizungukwa na watu wa namna hii kila kitu na wewe utakiona ni kigumu.
3: Haiwezekan i kutoboa, sisi tumeandikiwa kufeli hata tufanyeje. Kimbia kabisa mtu huyu unless amekuonyesha hilo daftari na muandishi wake ambaye analisti wa watu watakaofeli.
Dunia inawatu 8B+ huwezi kuwa na ukaribu na kila mtu, chagua ambaye kauli zenu zinaendana. Watu wanaokuongezea kasi, watu wanaokuongezea nguvu. Hawa wengine usiwachukie lakini usiwape nafasi kubwa watakuambukiza.
Wawili wawezaje kutembea isipokuwa wamepatana? Amos 3:3
Ni hayo tu.