Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
tayari umenifunga kwenye mabano mkuu...ila huo ndio ukweli na uhalisia wenyewe uliza popoteKwani kuwa na positive vibe ama kunena maneno chanya ndio kutoa ramani ya Hazina?
Umewahi kuzungumza on a mutual level na mtu gani unaeamini ni tajiri kwa Upeo wako japo dakika 10 tu(Sio Wanasiasa na watumishi wa ummah a.k.a waheshimiwa)? Mlizungumza jambo gani?
Maneno yana nguvu ya ajabu sana kwa kiumbe hai. Hasa mwenye ufahamu juu ya uwepo wake na mazingira yake.