Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
tayari umenifunga kwenye mabano mkuu...ila huo ndio ukweli na uhalisia wenyewe uliza popoteKwani kuwa na positive vibe ama kunena maneno chanya ndio kutoa ramani ya Hazina?
Umewahi kuzungumza on a mutual level na mtu gani unaeamini ni tajiri kwa Upeo wako japo dakika 10 tu(Sio Wanasiasa na watumishi wa ummah a.k.a waheshimiwa)? Mlizungumza jambo gani?
Maneno yana nguvu ya ajabu sana kwa kiumbe hai. Hasa mwenye ufahamu juu ya uwepo wake na mazingira yake.
✅Kwani kuwa na positive vibe ama kunena maneno chanya ndio kutoa ramani ya Hazina?
Umewahi kuzungumza on a mutual level na mtu gani unaeamini ni tajiri kwa Upeo wako japo dakika 10 tu(Sio Wanasiasa na watumishi wa ummah a.k.a waheshimiwa)? Mlizungumza jambo gani?
Maneno yana nguvu ya ajabu sana kwa kiumbe hai. Hasa mwenye ufahamu juu ya uwepo wake na mazingira yake.
Wewe utakuwa mkinga bila Shaka,....Kuna wengine sisi ndo kauli zetu ila kwa maendeleo hutukuti hata kidogo
Kweli kabisa,...sijui wanafikilia nn kwa vichwa vyao,...cheeee!Nyinyi wa design hii tunawaita waua Hatma...yaani mnapotosha wenzenu wasifanikiwe,sijui inawasaidia Nini!
Wewe bado hujafanikiwa ndo maana una primitive thinking, people are no longer walking the talk. Waliofanikiwa wengi wanaongea vitu in opposite meaning, they don't mean at all what they say maana easy say ndo easy goes. Pambana ufike level ya kuelewa hivyo vitu vidogo boss kubwa.
N a k a z i aNyinyi wa design hii tunawaita waua Hatma...yaani mnapotosha wenzenu wasifanikiwe,sijui inawasaidia Nini!
tayari umenifunga kwenye mabano mkuu...ila huo ndio ukweli na uhalisia wenyewe uliza popote
Mungu atuepushe naoNa wa aina hii ndio wapo kwa mamilioni. Sio kwa bahati mbaya.
Roho mbaya tuKweli kabisa,...sijui wanafikilia nn kwa vichwa vyao,...cheeee!
Kauli ya warombo na marangu.Kuna wengine sisi ndo kauli zetu ila kwa maendeleo hutukuti hata kidogo
itoshe kusema hakuna haja ya kujipambanua sana..kuna watu si wakuwaeleza ukweli utachakaaSina haja ya kuuliza sana maana Kama wewe ni mtanzania mwenzangu nina Imani yaliyopo kwako na kwangu yapo na kinyume chake.
Sasa kweli wanasiasa na ‘waheshimiwa’ wa Tanzania wanaweza kuwa na mazungumzo chanya yapi ya kumuinua mtu anaetafuta kuinuka ama aliekata tamaa?
Lini umewashuhudia hata katika mazungumzo ya kawaida kabisa na jamii ya kawaida kabisa wakiongea maneno ya kujaza moyo na kuamsha moto wa mapambano yoyote yale ya kimaisha?
Tukiachana na hao je hawa matajiri ambao ni raia wema majirani zetu na ndugu zetu mitaani wenyewe wanamazungumzo chanya Yapi kati yetu sisi na wao?
Ni katika mazungumzo yako mangapi na watu wa jamii yako waliofanikiwa na ambao wanapambana kufanikiwa umewahi kuwasikia wakiwazungumza maneno chanya yenye kujenga ari na nguvu ya ndani ya kupambana?
Ndani ya family zetu ni wangapi wanazungumza na sisi mazungumzo chanya ya kunyanyua na kujenga?
Nguvu ya uumbaji ipo kwenye maneno pia.
Unamaanisha sisi ndio tuna hatma ya watu wengine? Acha kujidanganya kuna watu hata uwape ukweli wa namna gan nothing will change them Zaid ya kupiga mizinga tuNyinyi wa design hii tunawaita waua Hatma...yaani mnapotosha wenzenu wasifanikiwe,sijui inawasaidia Nini!
Hampendi wenzenu wafanikiwe.Unamaanisha sisi ndio tuna hatma ya watu wengine? Acha kujidanganya kuna watu hata uwape ukweli wa namna gan nothing will change them Zaid ya kupiga mizinga tu
Izo ni kauli tu mdogo wangu,bila shaka hata baba ako huwa anazitumia ila haina maana hapendi wengine wafanikiwe! Labda Kama una lengo lingine lkn ukizungumzia mafanikio ya wengine nimesaidia wengi sana mpaka sasa Wana maisha yaoHampendi wenzenu wafanikiwe.
Wewe bado hujafanikiwa ndo maana una primitive thinking, people are no longer walking the talk. Waliofanikiwa wengi wanaongea vitu in opposite meaning, they don't mean at all what they say maana easy say ndo easy goes. Pambana ufike level ya kuelewa hivyo vitu vidogo boss kubwa.