Wamweru
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 635
- 485
Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu. Nilimsikiliza jana Polepole, ni wanaccm wachache sana wanaweza kuchambua mambo kama yeye, na nathubutu kusema kwa dhati kabisa, hata Rais Mama Samia hawezi na hatoweza kufanya hayo. Wala hawezi kuweka mdahalo na Polepole. Ningependa siku moja hawa wawili waweke mdahalo wa wazi. Najua hii ni ndoto yangu. Polepole anafaa kuwa Rais