Watu wenye miguu flat ..wana shida gani?

 
Pia kwa wanawake nasikia wengi wao huwa na njia ndogo sana ya uzazi kitu ambacho hupelekea wengi wao kujifungua kwa kisu.
 
Pia kwa wanawake nasikia wengi wao huwa na njia ndogo sana ya uzazi kitu ambacho hupelekea wengi wao kujifungua kwa kisu.
Nijuacho na niliambiwa kuhusu hill,Ni kwamba huwa ukiduu nae ,ukitoka mlangoni utotoke kinyumenyume,mama zivyo utapa mabalaaa,kila sijaprove kama Ni kweli maana wansema wahenga kuwa huwa hawana bahati ukimuoa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nilisikia hasa kwa kina dada kwamba wana huruma!! si wachoyo kabisa.
 





nyie mna uhakika na mchowaambia wapiga kura?, mimi mbona nina flat foot lakini kwa kutembea kaka kutwa nzima hunitoi, kukimbia hata km 20 utachoka wewe, hizo ni theory tu za miaka mingi - kuna muda walisema jeshini hawapokei watu wafupi - lakini sasa hebu kaangalie vi-anduje kibao tu mbona.
 
Exactly,hiyo Ni theory.Kwahiyo sijadanganya popote.
Ni theory kwasababu watu wote wenye flat feet hawaonyeshi the same manifestations.
Wako wengine wanaoteseka na inabidi wavae sole maalumu kuwasaidia.
Wengine kama wewe hawana shida.Kwa hiyo since hauna shida usione wote wako kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…