E and E
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 1,126
- 985
Emu nichokoze nipate hasira afu nikuropokee mambo yangu yotendiyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emu nichokoze nipate hasira afu nikuropokee mambo yangu yotendiyo mkuu
ha ha ha badaeEmu nichokoze nipate hasira afu nikuropokee mambo yangu yote
Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka
Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui
Niko very very curious na hili.....
je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??
Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?
kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?
Pia kwa wanawake nasikia wengi wao huwa na njia ndogo sana ya uzazi kitu ambacho hupelekea wengi wao kujifungua kwa kisu.Nilikua nasikia sikia tu kuwa watu wenye miguu flat chini
yaani nyao zao hazina uvungu katikati huwa hawaruhusiwi kujiunga na jeshi
sababu hawataweza mikikimikiki ya jeshi hasa kukimbia mchakamchaka
Juzi kati nimethibitishiwa na watu wa jeshini kuwa ni kweli kabla ya kujiunga
jeshini lazima ukaguliwe miguu na ukikutwa ni flat feet hawakuchukui
Niko very very curious na hili.....
je hii ni scientific theory?
nchi zote inatumika hii au kwetu tu??
Na mtu kuwa na miguu flat maana yake ana afya dhaifu?
kuna yeyote anaeweza kunipa maelezo zaidi?
Uchochezi gani!?Miguu yangu haina uvungu afu dimpoz ninazo pia niko fiti tu acheni uchochezi.
Nijuacho na niliambiwa kuhusu hill,Ni kwamba huwa ukiduu nae ,ukitoka mlangoni utotoke kinyumenyume,mama zivyo utapa mabalaaa,kila sijaprove kama Ni kweli maana wansema wahenga kuwa huwa hawana bahati ukimuoaPia kwa wanawake nasikia wengi wao huwa na njia ndogo sana ya uzazi kitu ambacho hupelekea wengi wao kujifungua kwa kisu.
Watu wengi hawana flat sole.
Kama mtu Ana flat sole hakubaliwi jeshini kwasababu theory Ni kuwa wanapata shida kukimbia.
Mtu kwenye Sole ya kawaida anaweza kutembea vizuri na muni know kwasababu pronation(yani movement ya mguu kuelekea ndani) na suppination( movement ya mguu kuelekea nje na mbele) ziko neutral,yani haijazidi wala kupungua.Kwaiyo ana balance nzuri.
Mtu mwenye flat sole Ana over pronate..mguu Una rotate zaidi kuelekea ndani na inachukua mda kwa mguu Ku suppinate yani kuelekea nje na pia kusukuma mguu mbele.
Kwa hiyo anashidwa kujibalance.Akishindwa kujibalance inamaana anashindwa kuhimili shock sanasana wakati wakukimbia.hivyo hana stability.
Na kama hana stability atapata majeraha na jeshi siyo sehemu yake since kuna mazoezi mazito.
Pia kama unapendelea kuvaa flat shoes Kama simples sanasana kwa wanawake,unaweza ukapata athari Kama za wenye flat feet.
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly,hiyo Ni theory.Kwahiyo sijadanganya popote.![]()
![]()
nyie mna uhakika na mchowaambia wapiga kura?, mimi mbona nina flat foot lakini kwa kutembea kaka kutwa nzima hunitoi, kukimbia hata km 20 utachoka wewe, hizo ni theory tu za miaka mingi - kuna muda walisema jeshini hawapokei watu wafupi - lakini sasa hebu kaangalie vi-anduje kibao tu mbona.
ninaflat sole njoo tutembee unakotaka kama hujavimba ww hyo inasemekanaInasemekana wanachoka haraka, na wakitembea umbali ndefu miguu inavimba maji kwenye nyayo kama mtu aliyekanyaga moto. Pia wenye vitovu vikubwa hawaruhusiwi.
Sent using Jamii Forums mobile app