Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

Watu wenye silaha washambulia Hospitali alipolazwa mtoto Aya aliyezaliwa chini ya kifusi wakati wa Tetemeko huko Syria

Wakusoma 12

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2017
Posts
4,035
Reaction score
11,462
Wakuu watu hao wanahisiwa walikuwa katika mpango wa kumteka mtoto huyo mchanga. Kwa mujibu wa duru za habari kutokea katika hospitali hiyo watu hao wenye silaha walidai hawakuwa na nia ya kumteka mtoto Bali walikuwa wanamtafuta mkurugenzi wa hospital hiyo Kwa kumfukuza mwenzako. mkurugenzi wa hospital hiyo anadai alimfukuza muuguzi mmoja baada ya kumgundua Yuko kwenye mipango ya kumteka kichanga huyo. Ndipo alipokwenda na kurudi na watu hao wenye silaha na kuanza kutoa kipigo.

Mtoto Aya ambaye alizaliwa chini ya kifusi huku wazazi wake na ndugu zake wote wakifariki kwa Tetemeko nchini Syria. Wakati huo huo watu wengine wamekuwa wakijitokeza na kujifanya ni ndugu zake huku mamlaka zikidai mipango ya watu hao ni kumteka kichanga huo.

============

Gunmen have stormed a hospital in north Syria where a baby girl is being cared for after being born under the rubble of her family's collapsed home, an official has said.

Speaking on the condition of anonymity, the official said the attackers tracked down the clinic's director and beat him up, telling local police officers they were going after him for firing their friend.

Reports on social media suggested the intruders launched the attack in an attempt to kidnap the infant, but the official denied this was the case.

The girl, who has been named Aya - the Arabic word meaning 'a sign from God', has been at the hospital since the earthquake hit Turkey and Syria last week.

The official said the hospital's director had suspected that a nurse who was taking pictures of Aya was planning to kidnap her, and kicked him out of the hospital.

The nurse returned hours later, accompanied by the gunmen who launched the attack.

Aya's mother, father and four siblings died in the disaster, and she has been closely monitored since her birth, with people from around the world offering to help her.

However, several people have shown up falsely claiming to be her relatives, prompting local policemen to guard her.

Rescue workers in the northern Syrian town of Jinderis discovered Aya more than 10 hours after the quake hit, buried under the concrete, and still connected by her umbilical cord to her mother.
 
Amesalia duniani kwa sababu maalumu. Na nimpaka italapo timia ndipo naye ataondoka. Ishu ina kujua ni sababu gani hiyo maalumu iliyombakiza duniani. Kwa bahati mbaya wengi humu baada ya miaka 30 mtoto huyo atakapo kuwa mtu mzima mtakuwa wazee sana ambao hata kuingia mitandaoni itakuwa taabu.
 
Hawa jamaa huyo mtoto wanataka wampeleke wapi tena? Hawa jihadist wanashida Gani lakini? Huko Uturuki pia wameanza kupora na kuiba je Mwenyaaazi anaruhusu hilo.
Aione Acumen mo, Destroyer,
Ilo halina shida, wanatekeleza kwa ajiri ya Allah na kabla ya kutekeleza wanapiga dua ili apokee vyema.
 
Wana mtaka wa nn?
Wamuue, huoni hata mtoto Yesu Naye aliwindwa na wahuni wamuue mpaka ikabidi akafichwe Misri . Inaonekana jamii za huko mashariki ya kati (Syria, Lebanon, Israel) hawapendi watoto wawe maarufu.
 
Amesalia duniani kwa sababu maalumu. Na nimpaka italapo timia ndipo naye ataondoka. Ishu ina kujua ni sababu gani hiyo maalumu iliyombakiza duniani. Kwa bahati mbaya wengi humu baada ya miaka 30 mtoto huyo atakapo kuwa mtu mzima mtakuwa wazee sana ambao hata kuingia mitandaoni itakuwa taabu
Mm
 
Wamuue , huoni hata mtoto Yesu Naye aliwindwa na wahuni wamuue mpaka ikabidi akafichwe Misri . Inaonekana jamii za huko mashariki ya kati (Syria, Lebanon, Israel) hawapendi watoto wawe maarufu.
Hapana hawa kuwa na nia hiyo.
 
Hawa jamaa huyo mtoto wanataka wampeleke wapi tena? Hawa jihadist wanashida Gani lakini? Huko Uturuki pia wameanza kupora na kuiba je Mwenyaaazi anaruhusu hilo.
Aione Acumen mo, Destroyer,
Mkuu kama nilivyokueleza siku ile, hao ni majambazi tu kama majambazi wengine tena usishangae ni washirikina kabisa, uislamu hauhusiki na hao wezi wa huko Uturuki.
 
Wamuue , huoni hata mtoto Yesu Naye aliwindwa na wahuni wamuue mpaka ikabidi akafichwe Misri . Inaonekana jamii za huko mashariki ya kati (Syria, Lebanon, Israel) hawapendi watoto wawe maarufu.
Acheni upuuzi na mawazo ya kimasikin, kutwa mko viherehere na taarifa za watu huko mbali mnasahau nchi yenu.

Huyo mtoto hana maajabu yoyote, sema ni bahat nzuri ya waokoaji, hao wanaotaka kumteka ni kujitafutia attention na pesa kwa kulazimisha walipwe wakimkamata.

Mawazo ya namna hii ndio yanaichelewesha Africa.
 
We jamaa mpumbavu Nini unashobokea wanaume wenziyo fala Nini. Kwa hiyo hicho kichanga wakikiteka watakipatia huduma zote na kukafanya kuwa salama?
 
Acheni upuuzi na mawazo ya kimasikin, kutwa mko viherehere na taarifa za watu huko mbali mnasahau nchi yenu.

Huyo mtoto hana maajabu yoyote, sema ni bahat nzuri ya waokoaji, hao wanaotaka kumteka ni kujitafutia attention na pesa kwa kulazimisha walipwe wakimkamata.

Mawazo ya namna hii ndio yanaichelewesha Africa.
Mwehu kabisa, sisi tumeamua kufatilia taarifa za huko wewe fatilia za hapa kwani umekatazwa. Usunilitee stress zako hapa.
 
Back
Top Bottom