Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Tujifunze kwa wenzetu wanavyofanya,unakuta mtu ni afisa mkubwa lakini anapika chapati kwa muda huohuo unajua anapikaje? Subiri kwanza,pili watu walioajiriwa wana namna kubwa sana kuchomoka kuliko ambao wamejiajiri unajua ki vipi? Ngoja kidogo
 
Ndo maana umeajiriwa. Your mind cant comprehend the bigger picture.
Kuajiriwa is not a problem, problem ni wewe na akili yako mgando, when you think self employment while unafanya kitu common. Vijana mnajipoteza kwa kuchukia serikali, kuchukia kazi zenu rasimi, na kujifanya kwenda kufungua miradi ambayo kila mtu anaweza fanya matokeo yake mnajaza soko bidhaa/services zinakosa wanunuaji
 
Umeleta maada nzuri sana, ila vijana wengi uelewa mdogo sana juu ya nini wanatakiwa kufanya
 
Uko sawa walioajiriwa wana posibo kubwa sanaaaaaaaa
 
Nimekusoma kama una kawivu hivi!!!
Siyo wivu, wewe ndiyo akili yako haina akili. Mleta maada ameonesha wajasiriamali kwa sehemu kubwa hawana ubunifu, na kibaya hata wasomi wanaoingia ujasiriamali nao hawana ubunifu.
 
Siyo wivu, wewe ndiyo akili yako haina akili. Mleta maada ameonesha wajasiriamali kwa sehemu kubwa hawana ubunifu, na kibaya hata wasomi wanaoingia ujasiriamali nao hawana ubunifu.
Duuuuh!!!
Ndicho ulichoelewa, nami nilielewa tofauti, sasa shida nini mkuu!!!!!!!!!
 

wewe nitakuwa na kufananisha na yule aliye leta uzi kuwa TV ya chogo ni bora kuliko flat screen kwa kutoa picha bora.
 
Siyo wivu, wewe ndiyo akili yako haina akili. Mleta maada ameonesha wajasiriamali kwa sehemu kubwa hawana ubunifu, na kibaya hata wasomi wanaoingia ujasiriamali nao hawana ubunifu.
Na wewe unakubaliana naye kuwa wajasiriamali kwa asilimia kubwa hawana ubunifu? Kwani matajiri wakubwa wa nchi hii ni wafanyakazi au wafanyabiashara?
Anza hapo kwanza.
Swali la pili la kujiuliza, unaweza kuendelea kufanya biashara kama unapata hasara? Kwa muda gani?
Kwa Tanzania, wajasiriamali wengi (ukiondoa wachuuzi wadogowadogo) wana maisha mazuri kulinganisha na wafanyakazi wa kawaida.
 
Watu wengine sijui mnatumia nini kufikiria. Kama maisha hayaanzi na hela unafanya kazi ili iweje. Huwa unaenda na beseni wanakuwekea uji?

Ninafanya kazi vizuri sana na ni mbunifu ndio maana bado niko kazini na nina-excel kwenye karia yangu. Ila hii kazi ina muda wake. Nikifa leo wife wangu na watoto wangu wataendelea kulipwa mshahara wangu. Kwa nini nisiinject kasalary kangu kwenye family business ambayo sasa inanilipa karibu hiyo salary ninayopata job?

Hutaki nifanye biashara ambayo wengine wanaweza kuduplicate unataka nianzishe kampuni ya kutengeneza ndege? Kanuni za biashara tunaangalia vitu vingi ikiwemo return ya business na sustainability na sio hii hoja yako ya ajabu! Umekula nini mkuu?

Haya wewe usiinvest mshahara wako. Kula wote, kunywa wote kisha kuwa mbunifu sana kazini na penda kazi yako. Hata hivyo huwa kuna kiinua mgonjo ukistaafu hivyo usijali.
I hate arguing with people of your level!!!
 
Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
 
Hili suala linahitaji mjadala mpana kwenye tv
 
Ndio mkuu ila kasalary kote nainject kwenye miradi and will soon quit. Nina majuto tu sikuanza mapema!

Soon when Mkuu wangu..!!

I am jobless, kama vipi niambie when you will be leaving, na mimi nitake over..!!

Maana kila nyumba niliyobisha naambiwa wapangaji wamejaa kwa mwaka sasa.!

Maisha kupigiana pande Mkuu wangu.
 
Acha uvivu Na wivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…