Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuajiriwa is not a problem, problem ni wewe na akili yako mgando, when you think self employment while unafanya kitu common. Vijana mnajipoteza kwa kuchukia serikali, kuchukia kazi zenu rasimi, na kujifanya kwenda kufungua miradi ambayo kila mtu anaweza fanya matokeo yake mnajaza soko bidhaa/services zinakosa wanunuajiNdo maana umeajiriwa. Your mind cant comprehend the bigger picture.
Umeleta maada nzuri sana, ila vijana wengi uelewa mdogo sana juu ya nini wanatakiwa kufanyaasalamo aleikum wakuu, katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vi mradi vidogo vidogo ndio wamekua wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekua wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira. Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.
NB: neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.
Uko sawa walioajiriwa wana posibo kubwa sanaaaaaaaaKuajiriwa is not a problem, problem ni wewe na akili yako mgando, when you think self employment while unafanya kitu common. Vijana mnajipoteza kwa kuchukia serikali, kuchukia kazi zenu rasimi, na kujifanya kwenda kufungua miradi ambayo kila mtu anaweza fanya matokeo yake mnajaza soko bidhaa/services zinakosa wanunuaji
Siyo wivu, wewe ndiyo akili yako haina akili. Mleta maada ameonesha wajasiriamali kwa sehemu kubwa hawana ubunifu, na kibaya hata wasomi wanaoingia ujasiriamali nao hawana ubunifu.Nimekusoma kama una kawivu hivi!!!
😀😀😀😀😀Umeleta maada nzuri sana, ila vijana wengi uelewa mdogo sana juu ya nini wanatakiwa kufanya
Duuuuh!!!Siyo wivu, wewe ndiyo akili yako haina akili. Mleta maada ameonesha wajasiriamali kwa sehemu kubwa hawana ubunifu, na kibaya hata wasomi wanaoingia ujasiriamali nao hawana ubunifu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si utakua Tarzan?
asalamo aleikum wakuu, katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vi mradi vidogo vidogo ndio wamekua wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekua wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira. Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.
NB: neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.
Na wewe unakubaliana naye kuwa wajasiriamali kwa asilimia kubwa hawana ubunifu? Kwani matajiri wakubwa wa nchi hii ni wafanyakazi au wafanyabiashara?Siyo wivu, wewe ndiyo akili yako haina akili. Mleta maada ameonesha wajasiriamali kwa sehemu kubwa hawana ubunifu, na kibaya hata wasomi wanaoingia ujasiriamali nao hawana ubunifu.
Watu wengine sijui mnatumia nini kufikiria. Kama maisha hayaanzi na hela unafanya kazi ili iweje. Huwa unaenda na beseni wanakuwekea uji?We ni miomgoni mwa wale wasiotumia akili, mnadhani maisha yanaanza na hela, ni ulimbukeni wa vijana siku hizi kudhani kujiajiri ni kuingiza hela kwa miradi inayoweza kuwa duplicated kiurahisi na watu wengine. Badala ya kupenda kazi zetu, kuwa wabunifu, tumekuwa na mawazo makapi ya kusikia eti ufugaji wa kuku unalipa kila mtu anakimbilia huko huko, yaani nakuhakikishia ukiacha kazi kwa huo mradi wako ambao kila mtu anaweza copy na kufanya utajuta
Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.Watu wengine sijui mnatumia nini kufikiria. Kama maisha hayaanzi na hela unafanya kazi ili iweje. Huwa unaenda na beseni wanakuwekea uji?
Ninafanya kazi vizuri sana na ni mbunifu ndio maana bado niko kazini na nina-excel kwenye karia yangu. Ila hii kazi ina muda wake. Nikifa leo wife wangu na watoto wangu wataendelea kulipwa mshahara wangu. Kwa nini nisiinject kasalary kangu kwenye family business ambayo sasa inanilipa karibu hiyo salary ninayopata job?
Hutaki nifanye biashara ambayo wengine wanaweza kuduplicate unataka nianzishe kampuni ya kutengeneza ndege? Kanuni za biashara tunaangalia vitu vingi ikiwemo return ya business na sustainability na sio hii hoja yako ya ajabu! Umekula nini mkuu?
Haya wewe usiinvest mshahara wako. Kula wote, kunywa wote kisha kuwa mbunifu sana kazini na penda kazi yako. Hata hivyo huwa kuna kiinua mgonjo ukistaafu hivyo usijali.
I hate arguing with people of your level!!!
Hili suala linahitaji mjadala mpana kwenye tvNa wewe unakubaliana naye kuwa wajasiriamali kwa asilimia kubwa hawana ubunifu? Kwani matajiri wakubwa wa nchi hii ni wafanyakazi au wafanyabiashara?
Anza hapo kwanza.
Swali la pili la kujiuliza, unaweza kuendelea kufanya biashara kama unapata hasara? Kwa muda gani?
Kwa Tanzania, wajasiriamali wengi (ukiondoa wachuuzi wadogowadogo) wana maisha mazuri kulinganisha na wafanyakazi wa kawaida.
Ndio mkuu ila kasalary kote nainject kwenye miradi and will soon quit. Nina majuto tu sikuanza mapema!
HA HA HAwewe nitakuwa na kufananisha na yule aliye leta uzi kuwa TV ya chogo ni bora kuliko flat screen kwa kutoa picha bora.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4]Si utakua Tarzan?
Acha uvivu Na wivu.asalamo aleikum wakuu, katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vi mradi vidogo vidogo ndio wamekua wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekua wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira. Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.
NB: neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.