Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Huenda Mkuu ,kuwa mjinga ni hasara sana .
Kuwa na raia wenye Low IQ kama huyo ni ngumu sana kama nchi kuendelea. Nchi ili iendelee kwa maana ya kuwa na maendeleo ya mtu mmoja mmoja, mbali na sababu zingine; Inabidi nchi isiwe na raia kama hawa.

Leo kwa mara ya kwanz ndio nimeshuhudia binadamu mmoja kutoka Tanzania anadiscourage kujiajiri. Ni hatari sana.
 
Amewakosea adabu sana walio jiajiri na walio na mpango wa kujiajiri

Serekali na mashirika yote hayawezi kuajiri watu wote wanaotaka ajira ndo maana kujiajiri si mhimu tu bali ni lazima wengine wafanye hivo ili wajipatie mahitaji mhimu ya kibidamu

Sasa nashanga huyu, unaye discourage kujiajiri

Kanikosea adabu sana kias chake.
 
Amewakosea adabu sana walio jiajiri na walio na mpango wa kujiajiri

Serekali na mashirika yote hayawezi kuajiri watu wote wanaotaka ajira ndo maana kujiajiri si mhimu tu bali ni lazima wengine wafanye hivo ili wajipatie mahitaji mhimu ya kibidamu

Sasa nadhanga huyu, unaye discourage kujiajiri

Kanikosea adabu sana kias chake.
U idiot huanza pela mtu unapodhani kuwa kuajiriwa ni laana. Mimi nasisitiza vijana kuwa wabunifu hata ktk mazingira yao ya kazi. Kwa hiyo akili zenu mbovu nyie mnadhani kuajiriwa ni laana eti ujiajiri, hivi unajiajiri kwa mfumo upi??? Kwa sababu IQ yenu ndogo basi siwezi kubishana na ninyi.
 
Mtu yeyote mwenye mind ya kuajiriwa ni masikini wa fikra na vitu. Na atakufa masikini labda awe mwizi wa pesa za umma. Full stop.

Asubuhi njema.
 
Ungesoma vizur nlichokiandika usingesema haya unayosema,
Kiuhalisia kuajiriwa na kujiajiri ni mhimu katika taifa lolote lile kukuza uchumi wake

Binafsi nasema kuajiriwa si laana, kusisitiza vijana kuwa wabunifu katika mazingira yao ya kazi ni jambo jema pia, maana baadhi ya vijana wa kitanzania wakipata ajira hawafikiri kutimiza malengo ya ofisi wanafikiria kwa makini jinsi gani wataiba

Nkuulize swali unataka walio kosa ajira wafanyeje sasa?, wakae tu?
 
Uzuri nikishawahi Fanya kazi kwenye ofisi flani wanakopesha wafanyakazi!
Kwahiyo mawazo kama yako nikiona nacheka sana.....

Maisha mnayoishi waajiriwa Ni vile kuoga na kufua nguo vizuri ndo kunawasitiri!
Kuchomekea mda wote na viyoyozi vinawangarsha kiasi chake

Cha mhimu walioajiriwa na kujiajiri waheshimiane .Maana kudharauliana ni kukoseana adabu sana.
 
Mtu yeyote mwenye mind ya kuajiriwa ni masikini wa fikra na vitu. Na atakufa masikini labda awe mwizi wa pesa za umma. Full stop.

Asubuhi njema.
Kuna watu wana ajira zinawalipa vzr sana, huu ni mtazamo wako tu mkuu. Huo uhuru mnaousema ata kwenye kujiajiri haupo , jaribu kuwa huru ulale njaa. Ata ivyo mkuu ww unafuga nn? Au unalima nn??
 
Kuchomekea mda wote na viyoyozi vinawangarsha kiasi chake

Cha mhimu walioajiriwa na kujiajiri waheshimiane .Maana kudharauliana ni kukoseana adabu sana.
Kweli kabisa!

Mtu ukicheki salary slip

Basic salary 700,000/=
Take home- aibu hata kutaja

Na kipindi hicho loan board walikuwa wanakata 8% Sijui Sasa hivi wanabaki Na kitu gani baada ya kuongezwa 15%
 
Hapo mdau ndiyo unakosea, familia hawaachiwi urithi wa hela. Ila urithi wa wazo la ubunifu lililozaa hela ndicho unatakiwa kuwaachia familia. Pia usipende kuingilia majukumu yasiyokihusu, Mungu kawaandalia wanao namna ya kutoka kimaisha.
wewe mdada una akili mgando sana.....yaani mzazi aache kumwandalia mwanae future yake na amuachie Mungu???
 
Kuna watu wana ajira zinawalipa vzr sana, huu ni mtazamo wako tu mkuu. Huo uhuru mnaousema ata kwenye kujiajiri haupo , jaribu kuwa huru ulale njaa. Ata ivyo mkuu ww unafuga nn? Au unalima nn??
Amna kwenye uhuru hata kidogo, na ukisema unajiajiri ili upate uhuru utakuwa wewe ni zezeta, kujiajiri kunahitaji umakini sana mda mwingne ,

Lazima watu wagawanyike kwenye kujiajiri na kuajirwa, tukisema watu wote wakae mjini wafanye kazi za kuajiriwa nani ataleta sasa figiri , matikiti,na mahindi ya kuchoma mjini?
 
Kuwa na "vimiradi" au any income generating activity inayokuingizia cashflow wakati huohuo umeajiriwa sehemu sio jambo baya. Tatizo tu ni pale ambapo ajira yako haikuingizii pato lolote la maana na unaona ukiinvest muda wako wote kwenye miradi yako binafsi unaingiza zaidi.
 
wewe mdada una akili mgando sana.....yaani mzazi aache kumwandalia mwanae future yake na amuachie Mungu???
Wadada achana nao hatuwapagi kitu cha urithi ili ku avoid double counting, Heshma Sana kwa wazee wetu wa zamani kwa kujua jinsi kuondoa tatizo la double counting kwa kuwanyima wanawake urithi
Hamna haja ya Wanawake kurithi mali kama watoto wa kiume wapo, maana wao watazikuta kwa mumewe naye kurithi

Kama mumewe hajarithi chochote ni uzembe wa wakwe wake kutafuta mali

Kama mwanamke akisema yeye haolewi ili arithi mali, anaangukia pua vibaya kwa kuwa house girl asiye kuwa na mshahara

NB. Tutafute vyetu vya wazaz ni vyao
Pia
Usikubali kugawana mali za urithi na Dada, unakuwa umeunda tatizo la double counting
 
Acha kauli za kibaguzi , dada ako aliyekupikia leo unamwita housegirl asiye na mshahara. Nyie ndo mamburula mnaowaacha watoto wenu wa kike wakateseke kwenye ndoa badala ya kuwaandaa wajitegemee.
 
Back
Top Bottom