Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

Kweli kabisa!

Mtu ukicheki salary slip

Basic salary 700,000/=
Take home- aibu hata kutaja

Na kipindi hicho loan board walikuwa wanakata 8% Sijui Sasa hivi wanabaki Na kitu gani baada ya kuongezwa 15%

Dah kama mwalimu mwenye degree moja, kama sjakosesa 35% ya mshahara wake ni makato na hapo ukute hajachukua mkopo mwengine wowote benki.

Kuajiriwa na kujishuhilisha na shughuli nyingine ndogo ndogo ndiyo ahueni pekee mda mwingne maana jeuri ya kuacha kaz kwa watu wengi hawana.

Na wale ambao wanaotafuta ajira wamekosa , wale ambao hawatafuti au hawana vigezo vya kupata ajira , wafikirie jinsi gani ya kujikwamua kiuchumi kwa kujiajiri wenyewe maana hamna namna

Zamani mtu alikuwa mtu kwa sababu ni mtu, saivi mtu anakuwa mtu kwa sababu ana kitu. Tufanyeje kazi tuweze kupata mahitaji yetu mhimu, kusikilizwa, kuheshimiwa, kuthaminiwa nk

Maana kuna sehemu Tanzania usipo kuwa na kitu hausikilizwi, haushimi, hauthaminiwi, nk[/QUOTE]
 
We umekutana na wafugaji wadogo siku ukikutana na wafugai wakubwa utaliaaa , assume home kwako kuna kuku 5000,ng'ombe 10, nguruwe 100, bata 30. Kazini unaenda kufanya nini
kazini unaenda kuongeza ujuzi na kuongeza capital ili kuendelea huu mradi
 
Dah kama mwalimu mwenye degree moja, kama sjakosesa 35% ya mshahara wake ni makato na hapo ukute hajachukua mkopo mwengine wowote benki.

Kuajiriwa na kujishuhilisha na shughuli nyingine ndogo ndogo ndiyo ahueni pekee mda mwingne maana jeuri ya kuacha kaz kwa watu wengi hawana.

Na wale ambao wanaotafuta ajira wamekosa , wale ambao hawatafuti au hawana vigezo vya kupata ajira , wafikirie jinsi gani ya kujikwamua kiuchumi kwa kujiajiri wenyewe maana hamna namna

Zamani mtu alikuwa mtu kwa sababu ni mtu, saivi mtu anakuwa mtu kwa sababu ana kitu. Tufanyeje kazi tuweze kupata mahitaji yetu mhimu, kusikilizwa, kuheshimiwa, kuthaminiwa nk

Maana kuna sehemu Tanzania usipo kuwa na kitu hausikilizwi, haushimi, hauthaminiwi, nk
[/QUOTE]
Well said!
Nilishuhudia mtu wa degree anarudi nyumbani na 150,000/=
 
Well said!
Nilishuhudia mtu wa degree anarudi nyumbani na 150,000/=[/QUOTE]
Unajifariji tu mkuu😀😀😀😀😀
 
Mwingine atakwambia alianza na kifaranga kimoja sasa hivi ana kuku 100.mimi uwa nawaangalia tu
 
Well said!
Nilishuhudia mtu wa degree anarudi nyumbani na 150,000/=
Unajifariji tu mkuu😀😀😀😀😀[/QUOTE]
Kama unahisi najifariji sawa!
Endelea kusubiri chai ofisini Na kama we mwalimu endelea kupigania chance ya kwenda kusahisha mitihani ya watoto [emoji2] [emoji2],..... hiyo hiyo Mkuu wa shule akikubania una mlaani kishenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Najua.hesabu zenu sio kama zetu.
Hesabu za ujasiriamali ni 1+1=11
Wewe ni miongoni mwa wale ambao wakiambiwa 3-2+1=2 au 6-2+1=5 watabisha akati ni kweli,

Kwenye ufugaji uvumilivi unahitajika pia Mkuu

Unaweza ukawa na kuku watano ( mitetea wa kienyeji) baada ya ya miezi sita ukawa na kuku wa kama miezi minne hivi 200 huku ukifanya na mambo mengne kujikwamua kiuchumi maana hauwezi kukaa tu ukitegemea kuku watano
 
We umekutana na wafugaji wadogo siku ukikutana na wafugai wakubwa utaliaaa , assume home kwako kuna kuku 5000,ng'ombe 10, nguruwe 100, bata 30. Kazini unaenda kufanya nini
Unaenda kutoa nafasi za kazi uwaajiri
 
Mimi nimeajiriwa ila najua mawazo mgando kama haya ndio yanayotufanya waajiriwa tunakufa masikini. Ni mawazo ya hovyo sana.

Hata kama umemzidi kipato huyo unayemuita mwenye kimradi cha kufuga kuku, tambua amekuzidi mambo mengi sana. Uhuru, ubunifu, experience na uwezo wa kukuza au kubadili biashara yake hiyo.

Ngoja siku kitumbua kiingie mchanga ndio utapata akili hapa mjini au unadhani wanaopoteza kazi ni maboya?

Naona mkuu kama una dalili za wivu na kukata tamaa!!
Hawa ndio unakuta anajisemea "Mimi nikistaafu ntafungua mradi mkubwa na kujenga nyumba ya kifahari".

Mawazo kama haya ni butu sana. Na yana "justify" uoga na umasikini wa fkira walionao walioajiriwa.

Na yoyote mwenye mawazo kama hayo asahau kufanikiwa zaidi ya hapo alipo.
 
Mtahangaika sana na vi ela vya kinyesi cha kuku na mifugo 😀😀😀😀😀
 
Mtahangaika sana na vi ela vya kinyesi cha kuku na mifugo 😀😀😀😀😀
Kabisa, tena tutapata tabu sana ila wewe mwajiriwa unakula kuku kwa mrija daima na utakuwa tajiri mkubwa muno. Hongera kwa hilo.
 
Assalam Aleykum wakuu

Katika uchunguz wangu nimegundua watu wenye vimradi vidogo vidogo ndio wamekuwa wakipiga kelele nyingi kuhusu swala la kujiajiri na wamekuwa wakiwadharau na kuwadhihaki wenzao walioko kwenye ajira.

Wengi wao pato wanalopata kutoka kwenye ujasiriamali wao huo ni dogo sana na wanapata tabu sana ukilinganisha na wale walioajiriwa ambao wanawadharau.😀😀😀😀.

NB: Neno wafuga kuku halija wa target wafuga kuku kama unavyofikiria , soma utafakari kwa makini.
bado yujakuwa ukikuwa utaacha! mshahara kitu gani hata kama unalipwa million tano! asili ya kuajiriwa ni uvivu yaani umeshindwa kufanya shughuli zako zikulipe ukaone ukafanye shughuli kwa mwingine ili ulipwe kidogo!
 
Unafanya kitu gani mkuu kinachokupa pato kubwa kuliko mwajiriwa anaelipwa milion tano? Toa ushahidi hapa, usije ukawa ni wale wenye ka shamba ka hatua kadhaa na tu mifugo tuwili tutatu af unasema et umejiajiri😛😛😛
 
Back
Top Bottom