Watu wenye vimradi vya kufuga kuku na kelele za kujiajiri

nyie fugeni tu.mimi hapana hayo mambo yalishanishinda
 
Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchicha


Ndio magorofa mengi mjini ni ya serekali, mashirika na watu binafsi walio amua kujiajiri .Ni ngumu mtu aliye ajiriwa ajenge gorofa

Ukipata mda fuga kuku Mkuu ,utapatapo mayai.
 
Nimejiajiri kwa kukata mkaa mkuu,nikipata pesa/hela ya kununua shamba kama ekari moja nitafuga kuku.
 
Wewe endelea kupanga foleni barabarani ukienda asubuh kwenye ajira yako Posta na kurudi jion ukijiona mjanja mtoto wa mjini, wacha sie wa Mbagala tukomae huku huku. Ila mwisho wa siku utakuja kuelewa tu maana ya vibiashara vya kuku
 
Wewe endelea kupanga foleni barabarani ukienda asubuh kwenye ajira yako Posta na kurudi jion ukijiona mjanja mtoto wa mjini, wacha sie wa Mbagala tukomae huku huku. Ila mwisho wa siku utakuja kuelewa tu maana ya vibiashara vya kuku
Endelea tu kujifariji mkuu na tu mradi tusiko na mbele wala nyuma, hujifunzi ata kwa wenzako kina bakhresa na mo! Nan kati yao alikua na tu biashara mjinga sijui kuchoma chips, sijui kufuga kuku sijui kuuza mahindi na jojo barabarani. Eti na ww unategemea kuja kuwa mtu. Utasubir sanaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
We jamaa bana unanichekesha sana.
 
Hebu tueleze ssb na mo walianzaje
 
Sawa mkuu ila ujue tu ghorofa halijengwi kwa kuuza mchicha
Ha ha ha aiseee! Unaweza kujenga ghorofa kwa kuuza mchicha in big scale sio kwa tenga na baiskeli.
Wauzie mchicha Hyatt,Serena,Sea Cliff,Double Tree uone kama hutajenga ghorofa. Kilimanjaro ni maji kama ya Kandoro ila tofauti ni kuwamoja iko large scale,sophisticated nyingine lowest,poorest quality
 
Bakhresa alikuwa anashona viatu Livingstone,baadae akawa anauza lambalamba sasa hivi....
 
Nini rai yako mkuu waache kufuga kuku wakaajiriwe?
Sio kila mtu anafuga anafanikiwa.

Kama huamini jaribu uone.
Nadhani wewe ni mmojawapo....so una stress za kushindwa mradi
Inawezekana kabisa..
 
Reactions: Ok9
Kweli..
 
Ujumbe umefika..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…