Peaceforever
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,030
- 2,200
Wao wanaongoza Africa kuwa na WAVIU 7.7 million,USAID ilikuwa inawasaidia sana ila kwa uchumi wako wanauwezo wa kujihudumia.Nimeshangaa na wao kulalamika kunyimwa misaada na USA 😂
MMEANZA KULETA PROOAGANDA ZENU MLIZOTULISHA HUKO ENZI ZA VIDATO.Nadhani hapa kuna watu wengi hamjui kinachoendelea, black southafricans hawajawahi kuwafukuza au kuwaonea wazungu kwa namna yoyote ile tangu wapate uhuru pamoja na ushenzi wote waliofanyiwa na wazungu
kabla ya uchaguzi huru baada ya mandela kutoka declerk alikaa na wazungu wenzake akawaambia ukweli wakiwemo wamarekani ,uholanI, germany na uk ambao walikuwa wakifadhili huu mfumo wa ubaguzi ili waendelee kuiba madini na ardhi ya watu weusi na kuwaua systematically
Declerk ndio maana anaheahimika hadi leo southafrica na race zote ,alikaa. Na kuwaambia atafanya uchaguzi huru na kwa anavyooona mandela atashinda, walichofanya wakagawana ardhi almost 80% wakaichukua wazungu na wana hati
Waafrika baada ya kupata uhuru hadi leo wanagombania the other 20%
Waafrika wanachotaka na sheria hii iliyotungwa ina lengo la kuipa serikali hako ya kuchukua ardhi ambayo haiendelezwi, na si kupora ardhi kama trump anavyodai, ila waathirika watakuwq wazungu ambao wamehodhi ardhi bila ya kuindeleza ,wengine wamshakufa na hakuna wa kuiendeleza, utakuta mtu ana ardhi dar hadi chalinze na haitumii na kaweka fence hiyo siyo sawa hata kwa sheria za tanzania
Nyie black people hamna akili ya kuendeleza chochote.Acheni kutumika na wanasiasa ili kufadhili ajenda zao za kutaka kuhodhi hiyo aridhi.Hiko sio kigezo cha wazungu kuendelea kufaidi mema ya nchi zaidi ya weusi
Kwa kiasi fulani hivi wanaweza kuwa wapo sahihi, Ila hofu yangu kubwa ipo juu ya namna ya Utekelezaji wa Mkakati huo wa Utwaaji wa Ardhi. Je, Mpango wa kutekeleza jambo hili upo vizuri?Nadhani hapa kuna watu wengi hamjui kinachoendelea, black southafricans hawajawahi kuwafukuza au kuwaonea wazungu kwa namna yoyote ile tangu wapate uhuru pamoja na ushenzi wote waliofanyiwa na wazungu
kabla ya uchaguzi huru baada ya mandela kutoka declerk alikaa na wazungu wenzake akawaambia ukweli wakiwemo wamarekani ,uholanI, germany na uk ambao walikuwa wakifadhili huu mfumo wa ubaguzi ili waendelee kuiba madini na ardhi ya watu weusi na kuwaua systematically
Declerk ndio maana anaheahimika hadi leo southafrica na race zote ,alikaa. Na kuwaambia atafanya uchaguzi huru na kwa anavyooona mandela atashinda, walichofanya wakagawana ardhi almost 80% wakaichukua wazungu na wana hati
Waafrika baada ya kupata uhuru hadi leo wanagombania the other 80%
Waafrika wanachotaka na sheria hii iliyotungwa ina lengo la kuipa serikali hako ya kuchukua ardhi ambayo haiendelezwi, na si kupora ardhi kama trump anavyodai, ila waathirika watakuwq wazungu ambao wamehodhi ardhi bila ya kuindeleza ,wengine wamshakufa na hakuna wa kuiendeleza, utakuta mtu ana ardhi dar hadi chalinze na haitumii na kaweka fence hiyo siyo sawa hata kwa sheria za tanzania
Onpoint hapo ndio kwenye shida, ubinafsi na rushwaKwa kiasi fulani hivi wanaweza kuwa wapo sahihi, Ila hofu yangu kubwa ipo juu ya namna ya Utekelezaji wa Mkakati huo wa Utwaaji wa Ardhi. Je, Mpango wa kutekeleza jambo hili upo vizuri?
Najua lazima Mpango huo utakuwa mbaya sana na utaleta matokeo mabaya sana kwa nchi hiyo ya Afrika Kusini.
Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro na washirika wake wa karibu Sana kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majeshi.
📌📌📌CASE CLOSED!!!waacheni wazungu wawasaidie maana MIJITU MYEUSI imejaa tamaa na hawana nia ya dhati kufanya maendeleo.Kwa kiasi fulani hivi wanaweza kuwa wapo sahihi, Ila hofu yangu kubwa ipo juu ya namna ya Utekelezaji wa Mkakati huo wa Utwaaji wa Ardhi. Je, Mpango wa kutekeleza jambo hili upo vizuri?
Najua lazima Mpango huo utakuwa mbaya sana na utaleta matokeo mabaya sana kwa nchi hiyo ya Afrika Kusini.
Mathalani, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe wakati huo alipokuwa anawapokonya Ardhi Wazungu kwenye nchi hiyo alikuja na Sera yake iliyokuwa ikisema kwamba Mtu anapaswa amiliki shamba moja tu na wala siyo zaidi yaani: "One Man One Farm." Lakini matokeo yake yeye mwenyewe Mugabe alijitwalia na kujigawia Mashamba mengi yapatayo 28 nchi nzima hali iliyosababisha manung'uniko katika jamii na yeye Rais kuingia kwenye migogoro na washirika wake wa karibu Sana kama vile Mwanasheria Mkuu wa Serikali yake na Mkuu wake wa Majeshi.
Ardhi inarudishwa kwa wamiliki wake halali, blacks. Ratio ya wazungu Africa Kusini ni 7% lakini wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo, hii haikubaliki na ni wendawazimu.Nyie black people hamna akili ya kuendeleza chochote.Acheni kutumika na wanasiasa ili kufadhili ajenda zao za kutaka kuhodhi hiyo aridhi.
kama mnajijua hamna ni ya dhati wala uwezo kwanini mnawabugudhi wazungu, watu smart waliotukuka!!!Onpoint hapo ndio kwenye shida, ubinafsi na rushwa
Zimbabwe anahaha sasahivi kuwaomba wazungu warudi kuyaendeleza yale mashamba waliyowanyang'anya.Ardhi inarudishwa kwa wamiliki wake halali, blacks. Ratio ya wazungu Africa Kusini ni 7% lakini wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo, hii haikubaliki na ni wendawazimu.
MALEMA ANAWASHIKA MASIKIOHawajui kitu 😂 sisi leo hii wakulipa kodi kisa kutoa pesa kwenye simu na wakasema za kujengea barabara kumbe ni mradi wa mtu tu
KANYWE CHAI KWANZA,WEWE UNANJAA🤝Kuwaacha hao makaburu weupe wakaleta maendeleo na wewe kuwapa madaraka makaburu weusi wakanunua ma v8 mpaka hapo jua wasauzi wana akili kukushinda .
Umeshaandaa tayari kumbe?KANYWE CHAI KWANZA,WEWE UNANJAA🤝
📌📌📌UAFRIKA NI LAANA!!!!Nimemwona prezda wao eti anajimwambafai kuwa baada ya us kuondoa misaada yao eti wana uwezo wa kutafuta suluhisho. Sasa unajiuliza kama kuna uwezo wa kuwa na suluhu kwanini utegemee msaada. Africa kweli ina janga la kiuongozi, watu wapo wapo tu na hotuba za maneno matamu ila hawana uwezo wowote wa kutatua matatizo yanayokabili nchi zao.
Wewe unayejua ebu tupe habari.Wanapitia nini hao maskini wenzetu🤗🤗🤗mkuu bongo kila mtu anachambua, watu hawajui kabisa wanachopitia wazulu
Hiyo kuwafukuza wazungu ni ajenda ya BLACK POLITICIANS wa huko ila sio majority rule.Africa nahisi tuna biological changamoto!
Kwani hao wazungu kwanini wasitumike wanavyotaka badala ya kuwafukuza? Au mi ndiyo sielewi?! 😄