Nadhani hapa kuna watu wengi hamjui kinachoendelea, black southafricans hawajawahi kuwafukuza au kuwaonea wazungu kwa namna yoyote ile tangu wapate uhuru pamoja na ushenzi wote waliofanyiwa na wazungu
kabla ya uchaguzi huru baada ya mandela kutoka declerk alikaa na wazungu wenzake akawaambia ukweli wakiwemo wamarekani ,uholanI, germany na uk ambao walikuwa wakifadhili huu mfumo wa ubaguzi ili waendelee kuiba madini na ardhi ya watu weusi na kuwaua systematically
Declerk ndio maana anaheahimika hadi leo southafrica na race zote ,alikaa. Na kuwaambia atafanya uchaguzi huru na kwa anavyooona mandela atashinda, walichofanya wakagawana ardhi almost 80% wakaichukua wazungu na wana hati
Waafrika baada ya kupata uhuru hadi leo wanagombania the other 20%
Waafrika wanachotaka na sheria hii iliyotungwa ina lengo la kuipa serikali hako ya kuchukua ardhi ambayo haiendelezwi, na si kupora ardhi kama trump anavyodai, ila waathirika watakuwq wazungu ambao wamehodhi ardhi bila ya kuindeleza ,wengine wamshakufa na hakuna wa kuiendeleza, utakuta mtu ana ardhi dar hadi chalinze na haitumii na kaweka fence hiyo siyo sawa hata kwa sheria za tanzania