Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Waliopewa dhamana kutuongoza wamefeli sana huo ndo ukweli sio south afrika bali afrika nzimaArdhi inarudishwa kwa wamiliki wake halali, blacks. Ratio ya wazungu Africa Kusini ni 7% lakini wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo, hii haikubaliki na ni wendawazimu.
Kuhusu kuendeleza bado hatujafikia uwezo huo ila huwezi kuacha mtu anakaa na ardhi halafu haitumii kisa tu mzungu ,atapewa mtu mwingine bila ya kuangalia rangi as long as ataitumiaTUKIACHA SIASA ILA UKWELI NI KUWA MTU MWEUSI HANA UWEZO WA KUCOVER HILO GAPE WAKIACHIWA HIYO ARIDHI.
MBONA UNAKAZA KICHWA HAPA TANZANIA KUNA PLANTATION GANI IMEENDELEZWA NA WAMATUMBI TOFAUTI NA HIZO ZILIZOBINAFSISHWA KWA MAGABACHIRI AMBAO NAO WANAKOPEA MIKOPO HUKO KWENYE MABENKI
tena kama huku tulipodhani labda kuna watu smart upstairs hata kidogo ndio wamejaa fikra za ajabu kabisa mkuuKwa mawazo kama haya Africa, ukoloni mkongwe utajirudia Africa banda ya miaka kadhaa, Africa tumejidharau sana na tumeshajihesabia hatuwezi.
Je, kama huku ndio ulikuwa unafikiria wapo smart wapo hivi. Je huko ambako hawapo smart🤔tena kama huku tulipodhani labda kuna watu smart upstairs hata kidogo ndio wamejaa fikra za ajabu kabisa mkuu
wapo watu smart mkuu nadhani may be wamekosa exposure tu ya platforms kama hizi, jf nowadays imevamiwa na watu wengi so haya lazima yawepoJe, kama huku ndio ulikuwa unafikiria wapo smart wapo hivi. Je huko ambako hawapo smart🤔
Wewe endelea kumsubiri mzungu wakati wenzio tunapiga kazi na kula mkate wetu wa jasho.Kwa watu timamu wa akili na mwili watakubaliana na mimi kuwa BLACK PEOPLE wa Afrika kusini inabidi waache mihemko na wawaache wazungu waishi na waiendeleze hiyo nchi.
Ukiangalia makazi mengi ya watu wa kawaida wenye asili ya mavumbini🤗 them black fellas😂😂😂😂 huko siweto ni dhahiri shahidi kuwa hawa ndugu zetu katika WEUSI ni vyema wakakaa kimya na kuwaomba makaburu msamaha kwa kuwakosea adabu.
Hivi jamii isiyotaka kusoma,kufanya kazi bali wao muda wote wanawaza kupata hela kwa njia za mkato,hii jamii ndo inataka ibaki iongoze Africa ya kusini huu mbona ni mzaha.
Jamii iliyotopea kwenye ngono,ulevi wa kupindukia,uhalifu wa kutumia silaha,chuki baina ya wenyeji na wageni magonjwa ya zinaa na umasikini uliyotukuka.Watu wazima kwa vijana hawataki kufanya kazi.Leo wakipita mitaa ya wazungu/makaburu wanaofanya kazi kwa nguvu na kukuza uchumi wao hii mijitu myeusi inaanza kupata wivu.
UKITUMIA USAFIRI WA BASI UKASHUKA PALE MBEZI LUIS.NDIO UTAONA UMUHIMU WA MAKABURU PALE KWA MADIBA.
ULE UJINGA WA VIBANDA PEMBEZONI MWA BARABARA KABURU ASINGERUHUSU.
📌📌📌Hakika UAFRICA NI LAANAAAA!!!!
UNAPIGA KAZI ILA UKITAKA KUENJOY HIZO HELA ULIZOPIGA DILI UNAENDA ULAYA,DUBAI AU ASIA😂😂😂Wewe endelea kumsubiri mzungu wakati wenzio tunapiga kazi na kula mkate wetu wa jasho.
Sasa wewe hiiii bangosha ndo umeandika madudu gani sasa haya🤔🤔🤔Kudedicate maendeleo ya SA kwa makaburu tu ni uongo man.Toka SA itoke kwenye sera za kibaguzi za makaburu hakuna kiongozi ambaye ni kaburu au colored kaongoza SA(ni weusi tu wameongoza)
Kama weusi ndio wameongoza kipindi hiki chote sasa mchango wa kaburu huko wapi hapa?(maendeleo ya SA yanatokana na michango ya watu kutoka mataifa kibao ikiwemo India,China,Nigeria,US nakuendelea ambao wapo SA)
SA sekta ya madini inamlinda maana anapata chochote kitu(tofauti na hii nchi yako ya Sir100).Vipo vitu kibao siwezi kutaja kila kitu lakini niseme MAKABURU ni weupe vichwani kama weusi tu(Nimefanya nao kazi si chini ya miaka mitatu lakini ni wabaguzi afu akili ndogo tu.Kingine waoga kwa wazungu wa jamii nyingine kama wanaotoka Australia,Canada na kuendelea)
Brainwashed by who?Man I've been working with these boers you praise here(they haven't done that much as you claim here)Sasa wewe hiiii bangosha ndo umeandika madudu gani sasa haya🤔🤔🤔
📌📌📌Ni huzuni how you guys have been brainwashed beyond repair!!!!
kwahiyo wakina RAMAPOSA,MALEMA na other black dudes ndio wameijenga hiyo nchi.Brainwashed by who?Man I've been working with these boers you praise here(they haven't done that much as you claim here)
Have you ever been in SA before?(Just talking silly stuff here)
From Mandela,Mbeki,...,Zuma and Ramaphosa(SA has been doing great).
Wakiamka asubuhi wanakaa mduara wanaanza kucheza kukatika uno,huku wakipiga mtungiWale jamaa wanajua kucheza Amapiano tu
Tanzania waliyoacha wakoloni yote tumeshindwa kutaendelezaTUKIACHA SIASA ILA UKWELI NI KUWA MTU MWEUSI HANA UWEZO WA KUCOVER HILO GAPE WAKIACHIWA HIYO ARIDHI.
MBONA UNAKAZA KICHWA HAPA TANZANIA KUNA PLANTATION GANI IMEENDELEZWA NA WAMATUMBI TOFAUTI NA HIZO ZILIZOBINAFSISHWA KWA MAGABACHIRI AMBAO NAO WANAKOPEA MIKOPO HUKO KWENYE MABENKI
bora warudi kutuchapa mijeledi tu heuenda tukamalizia THE PROCESS OF GREAT EVOLUTION🤗🤗🤗,yamkini walifanya haraka sana kukabidhi uhuru kwa mtu mweusi.Tanzania waliyoacha wakoloni yote tumeshindwa kutaendeleza
Ova
Watakuka wajukuu wetu wenye akili kuiendelezaTanzania waliyoacha wakoloni yote tumeshindwa kutaendeleza
Ova
Nikiangalia picha za mwadui zamani,picha za kikosa zamanibora warudi kutuchapa mijeledi tu heuenda tukamalizia THE PROCESS OF GREAT EVOLUTION🤗🤗🤗,yamkini walifanya haraka sana kukabidhi uhuru kwa mtu mweusi.
Wajukuu wepi hao hao kizaz cha wakata maunoWatakuka wajukuu wetu wenye akili kuiendeleza
Just reading some stuff online and claiming to know what is happening in SA won't help you man(Just go and see the real situation)kwahiyo wakina RAMAPOSA,MALEMA na other black dudes ndio wameijenga hiyo nchi.
📌📌📌Being in south Africa doesn't make you exceptional.You might have visited South Africa once or twice but you failed to grasp important things whilest you were out there.Keep learning boy🤝
Basi vitukuuWajukuu wepi hao hao kizaz cha wakata mauno
Ova
Tengua kauli yako mkuu. Kama ni Afrika ni laana mbona wapo waliozaliwa Africa, wakakulia Africa na kufanikiwa hapa hapa Africa?AFRICA NA UAFRICA NI LAANA!!!
Malema's speech represents his POLITICAL MOTIVE nothings more!!!Just reading some stuff online and claiming to know what is happening in SA won't help you man(Just go and see the real situation)
I've said ,you're over praising these boers(the fact is,they have done their part in building SA economy so do blacks majority in SA)
I didn't say Malema or Ramaphosa(Just told who were leaders in SA after boers influence in politics were gone).
Just to remind you,Malema's speech reflects what blacks have been going through in SA(Blacks being shot day and night by boers when they accidentally go to their farms isn't a story)