Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Waliopewa dhamana kutuongoza wamefeli sana huo ndo ukweli sio south afrika bali afrika nzimaArdhi inarudishwa kwa wamiliki wake halali, blacks. Ratio ya wazungu Africa Kusini ni 7% lakini wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo, hii haikubaliki na ni wendawazimu.
Ukisema uwape waafrika kwanza hayatamfikia mtu wa kawaida na hatayakiwafikia watu wa kawaida hawauwezo wa kuyaendeleza
mwisho wa siku yatachukuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara wapigaji ni bora yabakie kwa wazungu