John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Mhhhh, colonial mentality, kwamba watu weusi hawawezi kutengeneza magari,simu, kukuza viwanda, tekinolojia ?
Kwamba watu weusi hawana IQ ya kutosha!
Ben Carson dokta wa kwanza kutenganisha co joined twins, mapacha walioungana vichwa, kasome gifted hands, uelewe Mambo makubwa waliofanya weusi.
Yaani watu waliingia msituni kutafuta haki zao, na kumaliza udhalimu wa apartheid, lakini wasiwe na akili ya kujenga nchi!? Bro tema mate chini!
📌Tafuta hela maskini wewe!!!Nani kakwambia nimeajiriwa, mjinga wewe.
Wenzio tunakula pepo hapa hapa bongo.
Wazungu wenyewe unaowahusudu wanakuja huku kutalii kwa hela ndefu.
Washamba kama ninyi ndo mnashabikia kwenda ulaya na Dubai, pesa ikiwepo unaagiza chote na kinakuja.
Mtu ukikosa akili ni sawa na kuishi kama kipofu.
Kweli maana Waafrika hatuna akili.Inaonekana wasouth hawajui shuruba tunazopitia sisi tusiokuwa na wazungu.
📌Na wakija tuwape serikali watuongoze na kutuonyesha kwa vitendo how to run things🤝🤝🤝🤝
Kwanini Waafrika wengine hawataki kukubali ukweli kwamba uwezo wetu wa akili ni mdogo?Nyie black people hamna akili ya kuendeleza chochote.Acheni kutumika na wanasiasa ili kufadhili ajenda zao za kutaka kuhodhi hiyo aridhi.
Lakini ukweli ni kuwa hatuwezi.Kwa mawazo kama haya Africa, ukoloni mkongwe utajirudia Africa banda ya miaka kadhaa, Africa tumejidharau sana na tumeshajihesabia hatuwezi.
Kama huna akili uliyegemea nani afaidi?Hiko sio kigezo cha wazungu kuendelea kufaidi mema ya nchi zaidi ya weusi
dadeQ kumbe mpo peponi hapa hapa bongo? Haya Mimi ni JOBLESS.Nani kakwambia nimeajiriwa, mjinga wewe.
Wenzio tunakula pepo hapa hapa bongo.
Wazungu wenyewe unaowahusudu wanakuja huku kutalii kwa hela ndefu.
Washamba kama ninyi ndo mnashabikia kwenda ulaya na Dubai, pesa ikiwepo unaagiza chote na kinakuja.
Mtu ukikosa akili ni sawa na kuishi kama kipofu.
Sasa kama hamuwezi Kuzalisha ulitaka amiliki nani?Ardhi inarudishwa kwa wamiliki wake halali, blacks. Ratio ya wazungu Africa Kusini ni 7% lakini wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo, hii haikubaliki na ni wendawazimu.
Lengo hapo ni maslahi ya Kisiasa na mambo yakihatibika wao Wanasiasa wataendelea kuneemeka huku wale waliodai kupewa ardhi hawana hata play ya kulimia 😁😁Hiyo kuwafukuza wazungu ni ajenda ya BLACK POLITICIANS wa huko ila sio majority rule.
📌📌Akina Malema wanatumika kupush agenda.Wanasiasa wenye uchu wa MALI NDIO WANAYATAKA HAYO MASHAMBA.
Na uhalisia watu weusi wa Africa kusini hawana uwezo wa kuendesha hayo mashamba.
Alichukua likiwa pori na ameshaloendeleza hapo.Utalipaje fidia kwa mtu aliyelichukua eneo kwa njia za wizi na ukandamizaji hawa walipora na kuuwa watu ,leo mbona hawa makaburu na washirika wao hawakuwafidia blacks kwa ushenzi waliowafanyia? Akiwemo huyu musk na familia yake ambao ni wanufaika wakubwa wa sera za ubaguzi
Kwani maendeleo ni majengo marefu?Waafrica tumekuwa tricked na huyu jamaa anaeitwa maendeleo. hivi majengo marefu ambayo hayana impact yoyote kwenye maisha yako binafsi yanakusaidia nini, si heri kusingekuwepo na hayo majengo kukawa na mashamba ambayo watu wengi wangelima nakupata at least mlo au kuuza mazao.
Ni ufukara wa kuganga njaa Kwa kwenda mbele.System ya hapa nyumbani imewainuaje nyie MASKINI zaidi ya kuwaambie nyie MATAJIRI whilest nyie ni takataka mmejibanza kwenye UJINGA NA UFUKARA ULIOTUKUKA.
MIJI MICHAFU BALAA. EBU TOKENI HUKO NJE MKAJIONEE BINADAMU KAMILI WANAVYOISHI KATIKA USTAARABU NA MPANGILIO.
UShahidi upo mkubwa tu makaburu walitunga sheria 1913 inaitwa native land act, wakapora mashamba ya watu weusi kwa kupitia mfumo wa apartheid kwamba priority anapewa mzungu, na baba yake musk ni mmoja ya wamilikiwakubwa wa ardhi aliyopora kwa kupitia sheria hiiAlichukua likiwa pori na ameshaloendeleza hapo.
Pia miaka hiyo nani ana ushahidi kwamba walimpora mtu?
MODS!!!🤗🤗🤗
ACHENI UZI UPUMUE,HAWA WASOUTH LAZIMA WAAMBIWE UKWELI🤝
📌📌UKWELI NI MCHUNGU NA NI DAWA ILA HAKUNA JINSI, LAZIMA MGONJWA APEWE DAWA ATAKE ASITAKE!!!
Unachiomini ndicho unachokua.Lakini ukweli ni kuwa hatuwezi.
... much less percentage in Bongo!In South Africa, 10% of the population own 90% of the country's wealth
View attachment 3231654
Wewe laana yako ni ya nini ?Kwa kifupi sana, sema tu mtu mweusi aliyezaliwa Africa analaana yake tayari 🙏🙏
Mkuu kuna watu wana utaahira wa kufikiri maisha ni kuajiriwa na serikali.dadeQ kumbe mpo peponi hapa hapa bongo? Haya Mimi ni JOBLESS.
Ni kama laana yako tu, chuki, ubinafsi, tamaa, kichwani hamna maarifa mapya/ubunifu!Wewe laana yako ni ya nini ?