John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Mhhhh, colonial mentality, kwamba watu weusi hawawezi kutengeneza magari,simu, kukuza viwanda, tekinolojia ?
Kwamba watu weusi hawana IQ ya kutosha!
Ben Carson dokta wa kwanza kutenganisha co joined twins, mapacha walioungana vichwa, kasome gifted hands, uelewe Mambo makubwa waliofanya weusi.
Yaani watu waliingia msituni kutafuta haki zao, na kumaliza udhalimu wa apartheid, lakini wasiwe na akili ya kujenga nchi!? Bro tema mate chini!
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.