Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

Watu weusi Afrika Kusini waache kujifaragua. Bila wazungu hayo maendeleo na uchumi utabaki ndoto

Mhhhh, colonial mentality, kwamba watu weusi hawawezi kutengeneza magari,simu, kukuza viwanda, tekinolojia ?
Kwamba watu weusi hawana IQ ya kutosha!
Ben Carson dokta wa kwanza kutenganisha co joined twins, mapacha walioungana vichwa, kasome gifted hands, uelewe Mambo makubwa waliofanya weusi.
Yaani watu waliingia msituni kutafuta haki zao, na kumaliza udhalimu wa apartheid, lakini wasiwe na akili ya kujenga nchi!? Bro tema mate chini!

"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives."

Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
 
Nani kakwambia nimeajiriwa, mjinga wewe.
Wenzio tunakula pepo hapa hapa bongo.
Wazungu wenyewe unaowahusudu wanakuja huku kutalii kwa hela ndefu.
Washamba kama ninyi ndo mnashabikia kwenda ulaya na Dubai, pesa ikiwepo unaagiza chote na kinakuja.
Mtu ukikosa akili ni sawa na kuishi kama kipofu.
📌Tafuta hela maskini wewe!!!
 
Inaonekana wasouth hawajui shuruba tunazopitia sisi tusiokuwa na wazungu.

📌Na wakija tuwape serikali watuongoze na kutuonyesha kwa vitendo how to run things🤝🤝🤝🤝
Kweli maana Waafrika hatuna akili.
 
Nani kakwambia nimeajiriwa, mjinga wewe.
Wenzio tunakula pepo hapa hapa bongo.
Wazungu wenyewe unaowahusudu wanakuja huku kutalii kwa hela ndefu.
Washamba kama ninyi ndo mnashabikia kwenda ulaya na Dubai, pesa ikiwepo unaagiza chote na kinakuja.
Mtu ukikosa akili ni sawa na kuishi kama kipofu.
dadeQ kumbe mpo peponi hapa hapa bongo? Haya Mimi ni JOBLESS.
 
Ardhi inarudishwa kwa wamiliki wake halali, blacks. Ratio ya wazungu Africa Kusini ni 7% lakini wanamiliki 70% ya ardhi yote ya kilimo, hii haikubaliki na ni wendawazimu.
Sasa kama hamuwezi Kuzalisha ulitaka amiliki nani?

Harafu hao Wazungu wame incur costs za kutosha hapo bila kuwafidia halikubaliki.

Pia hao mafukara mnaowapa Ili wafanyie nini?

Mbona Zimbabwe wamerudishiwa?
 
Hiyo kuwafukuza wazungu ni ajenda ya BLACK POLITICIANS wa huko ila sio majority rule.

📌📌Akina Malema wanatumika kupush agenda.Wanasiasa wenye uchu wa MALI NDIO WANAYATAKA HAYO MASHAMBA.

Na uhalisia watu weusi wa Africa kusini hawana uwezo wa kuendesha hayo mashamba.
Lengo hapo ni maslahi ya Kisiasa na mambo yakihatibika wao Wanasiasa wataendelea kuneemeka huku wale waliodai kupewa ardhi hawana hata play ya kulimia 😁😁
 
Utalipaje fidia kwa mtu aliyelichukua eneo kwa njia za wizi na ukandamizaji hawa walipora na kuuwa watu ,leo mbona hawa makaburu na washirika wao hawakuwafidia blacks kwa ushenzi waliowafanyia? Akiwemo huyu musk na familia yake ambao ni wanufaika wakubwa wa sera za ubaguzi
Alichukua likiwa pori na ameshaloendeleza hapo.

Pia miaka hiyo nani ana ushahidi kwamba walimpora mtu?
 
Waafrica tumekuwa tricked na huyu jamaa anaeitwa maendeleo. hivi majengo marefu ambayo hayana impact yoyote kwenye maisha yako binafsi yanakusaidia nini, si heri kusingekuwepo na hayo majengo kukawa na mashamba ambayo watu wengi wangelima nakupata at least mlo au kuuza mazao.
Kwani maendeleo ni majengo marefu?
 
System ya hapa nyumbani imewainuaje nyie MASKINI zaidi ya kuwaambie nyie MATAJIRI whilest nyie ni takataka mmejibanza kwenye UJINGA NA UFUKARA ULIOTUKUKA.

MIJI MICHAFU BALAA. EBU TOKENI HUKO NJE MKAJIONEE BINADAMU KAMILI WANAVYOISHI KATIKA USTAARABU NA MPANGILIO.
Ni ufukara wa kuganga njaa Kwa kwenda mbele.
 
Alichukua likiwa pori na ameshaloendeleza hapo.

Pia miaka hiyo nani ana ushahidi kwamba walimpora mtu?
UShahidi upo mkubwa tu makaburu walitunga sheria 1913 inaitwa native land act, wakapora mashamba ya watu weusi kwa kupitia mfumo wa apartheid kwamba priority anapewa mzungu, na baba yake musk ni mmoja ya wamilikiwakubwa wa ardhi aliyopora kwa kupitia sheria hii
Na acheni kujidharau , 1913 waafrika walikuwa wanajitosheleza kwa chakula tena bila ya haya gmo,
DUniani kote usipoendeleza ardhi serikali inachukua bila ya compensation hata hapa tanzania, kwa nini hawa makaburu wajione wao wapo above the law? Trump na marekani wakati waafrika kusini wanaporwa ardhi yao na kuuliwa wao walikuwa wapi? huku kila aliyepinga aliitwa gaidi
 
MODS!!!🤗🤗🤗

ACHENI UZI UPUMUE,HAWA WASOUTH LAZIMA WAAMBIWE UKWELI🤝

📌📌UKWELI NI MCHUNGU NA NI DAWA ILA HAKUNA JINSI, LAZIMA MGONJWA APEWE DAWA ATAKE ASITAKE!!!

Tatizo wasouth hawapo humu kusoma uzi wako.
 
Wewe laana yako ni ya nini ?
Ni kama laana yako tu, chuki, ubinafsi, tamaa, kichwani hamna maarifa mapya/ubunifu!
ngono tu na wanawake wenye matako makubwa ndo wazo lililotawala ubongo!
majivuno mengi account hamna kitu!
ubongo mkubwa IQ kiduchu!
wizi, ulevi!
Kijisifu uwezo wa kutombana muda mrefu
Kusema uongo uliopitiliza
CHAGUA LAANA YAKO KATI YA HIZO
 
Back
Top Bottom