Watu weusi na kazi za ulinzi

Watu weusi na kazi za ulinzi

Tuache utani kazi ya ulinzi ngumu na wezi walivyo wakuda wakikukuta wanakukamata mzima hawakuumizi sehemu yoyote unafungwa tu kamba wanaiba kila kitu wanakuacha asubuhi boss anakukuta umefungwa kamba hujaumia popote na mali zake zimeenda.

Anakupeleka polisi ukifika unahojiwa kwa tuhuma za kushirikiana na wezi unaulizwa kwanini haujaumia sehemu yoyote na mali imeenda yani utajieleza hadi sauti ikauke hakuna mtu atakuelewa
Daaah mkuu umewahi experience nn maana umeongea uhalisia 😂😂😊
 
Tuache utani kazi ya ulinzi ngumu na waizi walivyo wakuda wakikukuta wanakukamata mzima hawakuumizi sehemu yoyote unafungwa tu kamba wanaiba kila kitu wanakuacha asubuhi boss anakukuta umefungwa kamba hujaumia popote na mali zake zimeenda.

Anakupeleka polisi ukifika unahojiwa kwa tuhuma za kushirikiana na waizi unaulizwa kwanini haujaumia sehemu yoyote na mali imeenda yani utajieleza hadi sauti ikauke hakuna mtu atakuelew
sasa wezi wakija hata mlinzi wanakuonea huruma akuue wa nini una maisha magumu anakutia kabali za kamba anakutupa huko anaiba anaondoka zake, kumuua mlinzi ni kumuonea tuu😀😀😀😀, wezi wanakuacha uhangaike na maisha yako magumu.
 
Serikali ndivyo inapenda watu waishi maisha duni, elimu duni waendelee kuwatawala hadi wajukuu zenu.
ndo tujikwamue sasa tuache kucheza na kazi za kindezi ndezi, TUWAZE KUWA JUA walau tukishindwa kuwa JUa tukawe mwezi au nyota
 
sasa wezi wakija hata mlinzi wanakuonea huruma akuue wa nini una maisha magumu anakutia kabali za kamba anakutupa huko anaiba anaondoka zake, kumuua mlinzi ni kumuonea tuu😀😀😀😀, wezi wanakuacha uhangaike na maisha yako magumu.
Wezi wanakuvua shati wanakufunga kamba alafu shati yako wanakuingizia mdomoni ili usipige kelele
 
Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.

Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.

Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Mkuu unajua China kuna walinzi Wachina pia?
 
Wazungu wanaokuja huku wengi ni wasomi na wanauwezo flani hivi,kwahiyo hawawezi kufanya kazi za ulinzi,na hata watu weusi kutoka huku kwetu wanaokwenda kule ulaya nao ni hivyo hivyo,wana vielimu vyao flani hivi au pesa za kutosha hivyo huwezi kuwakuta kwenya mageti ya wazungu wanalinda...
 
aah kudadek iyo kweli kabisa wanakutia shati na vest ndomoni wanaiba wanakuacha apo, na vibao wana kuzabua
 
Mkuu unajua China kuna walinzi Wachina pia?
wale wanalinda na robot mlinzi ana zimonitor zile robots, ila huku sisi unawajua walinzi wetu ni wale wazee wazee walevi levi hivi, saa tatu kasha lala lindoni😀 kajichokea.
 
ndo tujikwamue sasa tuache kucheza na kazi za kindezi ndezi, TUWAZE KUWA JUA walau tukishindwa kuwa JUa tukawe mwezi au nyota
Hilo ni ngumu, mfumo wa kiuongozi tayari upo corrupted.

Watakaotiboa ni wale wenye uwezo mkubwa kiakili, kifikra, uthubutu plus bahati n.k sio kila mtu huo uwezo anao.

Tuna safari ndefu ..
 
Wazungu wanaokuja huku wengi ni wasomi na wanauwezo flani hivi,kwahiyo hawawezi kufanya kazi za ulinzi,na hata watu weusi kutoka huku kwetu wanaokwenda kule ulaya nao ni hivyo hivyo,wana vielimu vyao flani hivi au pesa za kutosha hivyo huwezi kuwakuta kwenya mageti ya wazungu wanalinda...
kuna wahindi wamezaliwa kisutu mbona sio walinzi?
 
Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.

Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.

Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Yaani unategemea wahindi na Wazungu wafanyekazi za ulinzi hapa TZ? Nenda India na Ulaya/USA utawakuta walinzi wa Kihindi na Kizungu. Tatizo lako exposure bado ni ndogo sana.
 
Back
Top Bottom