mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Walinzi kuna kitu wamekufanya sio bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetembelea nchi zao ukakuta walinzi ni nani?Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.
Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.
Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Kwani watu wote ni walinzi? mbona kwenye zao utawakuta wao ndio wengi wanaofanya hizo kazi. Wazoa taka wazungu wako kibao huko kwao, wazibua mitaro, walinzi, wapishi, wavuvi nk.ajira? afungue banda la kushona viatu kwani lazima wote tuwe walinzi?
Tutailinda nchi yetu wenyewe. Hata kama hupendi. Tukikuachia wewe mjerumani sio sawaSisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.
Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.
Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Nalinda wowowo lako.we utakua mlinzi najua