Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Tanzania?wapo hao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania?wapo hao
Na kwani lazima wote tuwe washona viatu?ajira? afungue banda la kushona viatu kwani lazima wote tuwe walinzi?
Uwe unaelewa nimetolea mfano Tanzania, bado nikaja nikaeleza hapa hapa Tanzania tuna wahindi wazawa, ni watanzania wenzako wako pale kisutu na kariakoo wamejazana, kwanini wao sio walinzi? Exposure yako inakusaidia nn sasa kama hauna akili?Yaani unategemea wahindi na Wazungu wafanyekazi za ulinzi hapa TZ? Nenda India na Ulaya/USA utawakuta walinzi wa Kihindi na Kizungu. Tatizo lako exposure bado ni ndogo sana.
wale wanalinda na robot mlinzi ana zimonitor zile robots, ila huku sisi unawajua walinzi wetu ni wale wazee wazee walevi levi hivi, saa tatu kasha lala lindoni😀 kajichokea.
Kwa hiyo nani alinde? Na wewe bila shaka ni masikini tu ukiwa tajiri utatafuta walinziviboko hadi akili zisisimke tusiwe taifa la walinzi
Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.
Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.
Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Wewe toka hujazaliwa, mpaka unazaliwa,mpaka malezi yako yote, umejazwa ujinga wa kuwa mfanyakazi sehemu fulani, tena unalelewa kwa kukumbushwa kumbushwa, kusomeshwa ujinga, mara kwa mara kuwa "mwanamme hachaguwi kazi".Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.
Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.
Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Kuna muda ugumu wa maisha unakusukuma kufanya shughuli yoyote iliyo rasmi ili kujikwamua.Sisi watu weusi sijui nani alituroga, mimi katika pita pita zangu hapa Tanzania sijawahi kukuta mlinzi wa kihindi au au wa kiarabu, mlizi wa kizungu au wa kichina, ila sisi ngozi nyeusi ndo tunapenda penda kazi za ulinzi, kushinda magetini na manguo ya dark blue, ukiona ndugu yako ana taka kazi za ulinzi kemea sana pepo hilo, mzabe vibao akatafute kazi nyingine, hii tumezidi.
Tunakua na maisha duni kwa sababu tunapenda kazi za chini chini, shule tunakimbia umande, hatutaki kujituma ndo tunaishia kushinda kufungua mageti maisha yetu yote. Kwanini sio wachina sio wahindi au wazungu wao wasiwe walinzi? tusome bas kama wao, tumejazana huko ma Gardaworld kama makenge yasio na mwelekeo.
Walinzi wa kizungu utawakuta kwenye embassy zao kama US Embasy , British council na balozi zingine, ila humu kwenye mastoo na magodauni ndo sisi tunazaliana humo, tunalinda na mapanga na masululu shwain kabisa sisi chakula maandazi na mihogo.
Kampuni ipo inaitwa China Tanzania Security Company Ltd wanaajiri watanzania usenge ni kule juu, unajua haya makampuni ujinga wake ni kitu kimoja tu yangekuwa yanaendeshwa na wenyewe km wenyewe (wageni au wahusika wa makampuni) nakwambia wafanyakazi wa haya makampuni wangekuwa wanaishi maisha mazuri sana nazungumzia walinzi na wasingekua wakidharauliwa ila shida ni moja tu na hio ni shida kubwa kubwa kubwa mnooooooooo kule juu narudia kule juu kwenye uongozi wanaajiri wabongo sasa hapo ndio balaa la ukandamizaji linapoanzia hawa wageni hawana tatizo ila tatizo lipo kwa wabongo wanaoajiriwa kwenye zile nyadhifa za juu ukianza na mkurugenzi, meneja, mwasibu, hr, supervisor yaan hawa woooooote wabongo sasa hapo ndio kisanga kinapoanzia yaan yanaibuliwa mambo ya kishenzi mpaka kazi inaonekana ya kifala na inaonekana km kazi fulani ya laana hivi sababu kule juu kuwekwa wabongo kwenye makampuni ya kigeni au local wanaanza kuwakandamiza wabongo wenzao walio kwenye nafasi za chini tena wanawakandamiza haswa wanahakikisha kwamba hawapumui kabisa yaani wanakandamiza na kukandamizaMkuu ni wazi una ufahamu na uwezo mdogo wa kuchambua mambo.
Unatakiwa kwanza ujue wageni hao uliowataja hawaruhusiwi kufanya kazi zinazoweza kufanywa na raia/wenyeji wao.
Wachina waje kufungua mageti hapa si mtaandamana kama walivyokuja kuichukua kariakoo, na wachina hawashindwi ila ni hatari kuwa na wageni wa hivyo nchini. Hilo unatakiwa kulijua pia. Maana unaweza kuwa na taifa lenye raia wa kigeni wa hovyo sana, hasa wahalifu waliotumikia vifungo huko kwao wakatupiwa Afrika huku. (Wachina wengi wapo hivyo)
Pia tofautisha taasisi binafdi na za kiserikali