Kuna dada zetu nao wanaojidhalilisha kwa vizee vya kizunguBado tunazuzuka na rangi nyeupe, hata mwanaume akipata pesa anataka kuoa mzungu ama mwarabu
Babu kajipigia zake 3some ya kibabe.Kuna dada zetu nao wanaojidhalilisha kwa vizee vya kizungu
View attachment 3284569
Ila siku hizi dada zetu wanalizwa, kuna wazungu pori kibao hasa beach za Kigamboni. Vidada vinaleta shobo, wanaliwa na kupigwa vihela vyao juu.
Kwani kuwa na mtu wa race nyingine ni tatizo mkuu?Bado tunazuzuka na rangi nyeupe, hata mwanaume akipata pesa anataka kuoa mzungu ama mwarabu
Kwahiyo mtu akiwa mzungu ndo ulale nae tu 🤔🙄Ila siku dada zetu wanalizwa, kuna wazungu pori kibao hasa beach za Kigamboni. Vidada vinaleta shobo, wanaliwa na kupigwa vihela vyao juu.
Nilikuwa na mjomba yangu, marehemu kwa sasa. Mama yake anatoka Seychelles ila ni mzungu kabisa kimuonekano. Na jamaa alichukuwa uzungu wa mama yake. Ukiacha rangi ni mbongo wa kulelewa Kariakoo ila kuna kipindi alifanya kazi kwenye meli kama baharia.
Jamaa ilikuwa anawapiga miti mademu wakidhani ni mzungu sababu ya muonekano na mwisho wa siku wakizubaa anawaibia.
Watu weusi wana utumwa wa fikra. Wanahusisha uzungu na utajiri kutokujua kuwa hata kwa wazungu kuna mafukara.Kwahiyo mtu akiwa mzungu ndo ulale nae tu 🤔🙄
Basi wadada wapuuzi
Na sio Siri wanatudharau sn wabongo eti hatujui English 🤔😅Wakenya ni watumwa wa wazungu mpaka mwisho wa dunia.
Wanamsujudia mzungu kiasi cha kuona kujua kiingereza ni bonge la mafanikio.
Tusi lao kubwa kwa Watanzania ni kuwa hatujui kizungu
Wazungu wasio na kitu Kwa ss ni wengi sn sio km zamani 🤣Watu weusi wana utumwa wa fikra. Wanahusisha uzungu na utajiri kutokujua kuwa hata kwa wazungu kuna mafukara.
View attachment 3284637
Kuna wajinga wengi sana huku kwetu. Mbaya zaidi hatujijui kwamba tuna ujinga mwingi.
Hivi wadada wanatoaga wapi ujasiri wa kupiga picha za kipuuzi hivi?Kuna dada zetu nao wanaojidhalilisha kwa vizee vya kizungu
View attachment 3284569
Binti anaporuhusu uchi wake kuwa chanzo cha kipato, akili na utu wake unaondoka kabisa.Hivi wadada wanatoaga wapi ujasiri wa kupiga picha za kipuuzi hivi?
Au wenzetu Hawana ndugu, famillia mitandaoni