Watu weusi na laana ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe

Watu weusi na laana ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe

Ila siku hizi dada zetu wanalizwa, kuna wazungu pori kibao hasa beach za Kigamboni. Vidada vinaleta shobo, wanaliwa na kupigwa vihela vyao juu.

Nilikuwa na mjomba wangu, marehemu kwa sasa. Mama yake anatoka Seychelles ila ni mzungu kabisa kimuonekano. Na jamaa alichukuwa uzungu wa mama yake kumuonekano. Ukiacha rangi ni mbongo wa kulelewa Kariakoo ila kuna kipindi alifanya kazi kwenye meli kama baharia.

Jamaa ilikuwa anawapiga miti mademu wakidhani ni mzungu sababu ya muonekano na mwisho wa siku wakizubaa anawaibia.
Hahahahaha, na wasitegemee kuwa Mimi nitawaonea huruma.

Wapigwe miti kwa Sana.
 
Back
Top Bottom