mfuaji
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 632
- 1,104
Hawana ila ni kwamba wanajua wanachokifanya.Ndio, maana wana akili kuliko sisi
Hawana ila ni kwamba wanajua wanachokifanya.Ndio, maana wana akili kuliko sisi
Ndo akili zenyewe hizoHawana ila ni kwamba wanajua wanachokifanya.
Hahaha, hapana bhana!Ndo akili zenyewe hizo
Ila?Hahaha, hapana bhana!
Tunafanana nao tu ndo maana wamejaa kule tiktok wakifanya mambo ya hovyo.Ila?
Wanaofanya ya hovyo wapo ila wanaofanya ya maana ni wengi zaidi ya sisiTunafanana nao tu ndo maana wamejaa kule tiktok wakifanya mambo ya hovyo.
Hapo sikupingiWanaofanya ya hovyo wapo ila wanaofanya ya maana ni wengi zaidi ya sisi
Ngozi nyeusi hatuwezi kukwepa utumwa hata wa nafsiWakenya ni watumwa wa wazungu mpaka mwisho wa dunia.
Wanamsujudia mzungu kiasi cha kuona kujua kiingereza ni bonge la mafanikio.
Tusi lao kubwa kwa Watanzania ni kuwa hatujui kizungu
Kabisa. Ni laana iliyo ndani yetuNgozi nyeusi hatuwezi ukwepa utumwa hata wa nafsi
HakikaKabisa. Ni laana iliyo ndani yetu