Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Ncha ya Mkukina

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2017
Posts
561
Reaction score
694

Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu mweusi hujitambui, ungelijijua wewe....!!!!!! Dunia itatikisika, sisi tulikuwa wenyeji asilia wa bara la Asia na Ulaya maelfu ya miaka kabla ya biashara ya utumwa, kimsingi wenyeji asilia wa dunia ni sisi, mwalimu wako wa history anakwambia ulikwenda Ulaya Kama mtumwa???????!!!!!

The British, with the "Modern" Germans, were the originators of revisionist history. It was they who first began to write Blacks out of history after the “Race/Religious Wars" of the late medieval. Now look, the British will soon start teaching their children the truth: that Blacks were the original people of Britain. But please know, this is not the result of truth seeking, those truths were always known
 
Legitimate Black researchers, (as opposed to those who do it to gain favor with the Albinos and thus make money), must out of necessity, try to reconstruct history by bits and pieces. The Albinos have after all, had over 200 years to create their false paintings, statues, and false translations of historical documents.
The task of parsing their lies from the truth is indeed daunting. But every now and then, we uncover an artifact so revealing, that it answers many of our questions, such as; What race were the Holy Roman Emperors? What race were the Inca? Who was the last Black Spanish King? When did the Spanish start depicting Jesus as an Albino instead of a Black man? All of these question have been answered by a painting of the Inca king list, painted circa 1800 in Peru.
 
Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia
this is also a falacy. Kama mtu mweusi ndiye asili ya ustaarabu na maendeleo duniani alipatwa na nini leo tuko hivi. ustaarabu ziro kabisa. ukija huku mijini kama Dar es Salaam wanakunya hadi kwenye mifuko ya Malboro na kutupa jalalani. Tusijikweze sana na kutafuta huruma ya dunia. Sisi watu weusi tumechelewa sana kuzinduka. kama ni evolution basi ilianzia kwa watu weupe, wakafuta wengine kama Wahindi, Waarabu n.k ndo tunafuata sisi wa mwisho. Wakati wenzetu walishafikia hadi hatua ya kuwa na magari, meli na hata kuzindua ndege sisi bado tulikuwa hatuvai hata nguo. tusijidanganye sana kwamba tulikuwa mbele zamani wakati ni dhana ya uwongo iliyokubuhu. Tuache kutafuta kuhurumiwa, tupambane hali zetu.
 
Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu mweusi hujitambui, ungelijijua wewe....!!!!!! Dunia itatikisika

The British, with the "Modern" Germans, were the originators of revisionist history. It was they who first began to write Blacks out of history after the “Race/Religious Wars" of the late medieval. Now look, the British will soon start teaching their children the truth: that Blacks were the original people of Britain. But please know, this is not the result of truth seeking, those truths were always known

Sasa inakuwaje Afrika inaitwa shithole?
 
this is also a falacy. Kama mtumweusi ndiye asili ya ustaarabu na maendeleo duniani alipatwa na nini leo tuko hivi. ustaarabu ziro kabisa. ukija huku mijini kama Dar es Salaam wanakunya hadi kwenye mifuko ya Malboro na kutupa jalani. Tusijikweze sana na kutafuta huruma ya dunia. Sisi watu weusi tumechelewa sana kuzinduka. kama ni evolution basi ilianzia kwa watu weupe, wakafuta wengine kama Wahindi, Waarabu n.k ndo tunafuata sisi wa mwisho.
Kinachotumaliza sisi weusi Woga wa kimapokeo kutoka kwenye maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa na wazungu Kwamba tulianzia kuwa Masokwe je hao wazungu walikuwa sokwe gani?
 
Katika kipindi cha nyuma enzi za utumwa, utawala unapoanguka utawala unao waangusha unahakikisha cha kwanza una control ongezeko la watu especially wanaume, yaani mwanaume akizaliwa kuna mawili wamuue au wamkate uume ili wasiongezeke. Cha pili ni kuhakikisha wanaua tamaduni zao kwa maana wao ni watumwa lazima wafuate tamaduni za mabwana wao. Hicho ndicho kilichotokea kwenye mji mingi saveges wakizungu na wakiarabu walikuwa more brutal kwa african brother. Kwasababu walihofia uwezo wa kufikiria wa wale mabwana weusi.
 
hata wao walikuwa sokwe lakini wametangulia. sokwe wapo hadi sokwe weupe.
Sasa tuseme masokwe weupe ndio walianza kupata ufahamu na kustaarabika?
Je hao sokwe waupe walitokea wapi na mapokeo yao yako wapi?
Documentary nyingi zao hao watu /sokwe weupe hawaonyeshi walivyokuwa mwanzo na walivyoishi mapangoni, cha zaidi wamebase wakati wa maendeleo yao, ugunduzi,vita,ustaarabu wao
Je asili yao ilikuwa wapi?
 
Katika kipindi cha nyuma enzi za utumwa, utawala unapoanguka utawala unao waangusha unahakikisha cha kwanza una control ongezeko la watu especially wanaume, yaani mwanaume akizaliwa kuna mawili wamuue au wamkate uume ili wasiongezeke. Cha pili ni kuhakikisha wanaua tamaduni zao kwa maana wao ni watumwa lazima wafuate tamaduni za mabwana wao. Hicho ndicho kilichotokea kwenye mji mingi saveges wakizungu na wakiarabu walikuwa more brutal kwa african brother. Kwasababu walihofia uwezo wa kufikiria wa wale mabwana weusi.
Ingekuwa ni true basi zile remote area za ndani ambazo hazikuathiriwa na tamadamuni za wageni wakoloni zingekuwa zimestaarabika sana.Labda mtoa mada alitaka kumaanisha ustaarabu upi, wa kiutamaduni,kifikra nk.Maana kuna ustaarabu na maendeleo ni vitu viwili tofauti.
 
Unaifahamu vizuri kingdom ya mali enzi za mansa mussa? Na chuo kikuu cha kwanza inasadikika kilikuwa Timbuktu. Ndiyo maana hadi leo france anapiganisha makombola na kumaliza kabisa shahidi hizi za kihistoria.
 
Nafahamu sana ule ustaarabu wa kaskazini ulitokea nchi za Asia kupitia Mediterranean miaka mingi sana kabla ya ukoloni nchi za kaskazini mwa Africa zilikuwa zina mahusiano na nchi za Asia ndo maana hio Timbuktu tayari ilikuwa imani kuu ilikuwa uislamu ambao haukuanzia Africa, ukija Ethiopia wao walikuwa wakienda hija Jerusalem hata wakati wa nabii sulemani,yupo malkia alienda kumtembelea Suleiman, Kwa historia ya biblia Africa ilianza kuwa na mawasiliano na nchi za Asia hata kabla ya kuja kwa wakoloni.
 
Sasa tuseme masokwe weupe ndio walianza kupata ufahamu na kustaarabika?
Je hao sokwe waupe walitokea wapi na mapokeo yao yako wapi?
Documentary nyingi zao hao watu /sokwe weupe hawaonyeshi walivyokuwa mwanzo na walivyoishi mapangoni, cha zaidi wamebase wakati wa maendeleo yao, ugunduzi,vita,ustaarabu wao
Je asili yao ilikuwa wapi?
hoja ya msingi siyo kwamba tulikuwa sokwe ama la. hoja ni kwamba wenzetu wametutangulia kustaarabika na kupata maendeleo. Sisi tupambane na hali zetu ili na sisi tufike huko walikofika wenzetu. lakini siyo kudanganyana kila siku kuwa ooh! mtu mweusi ndo alikuwa wa kwanza kupata maendeleo na ustaarabu wakati hata asiyejua kusoma picha anaiona kuwa sisi tumechelewa kustaarabika na kupata maendeleo. SISI BADO HATA KUNYA TU TUNAKUNYA KWENYE MITO NA KATIKA MIFUKO, WATOTO HATUWAPELEKI SHULE, KAZI HATUTAKI KILA SIKU KULALAMIKA TU. TUPAMBANE NA HALI ZETU, WENZETU WAZUNGU WALISHATANGULIA. WACHINA TULIOKUWA NAO LEVEL MOJA MIAKA YA 1960'S WAMETUACHA TENA. MALAYSIA, SINGAPORE, TAIWAN NA WENGINEO WAMETUACHA TENA. TUACHE KUTAFUTA HURUMA ZA DUNIA, TUKUBALI KUWA SISI NDO TUNAZINDUKA TANGU DUNIA IUMBWE. TUPAMBANE NA HALI ZETU.
 
Katika kipindi cha nyuma enzi za utumwa, utawala unapoanguka utawala unao waangusha unahakikisha cha kwanza una control ongezeko la watu especially wanaume, yaani mwanaume akizaliwa kuna mawili wamuue au wamkate uume ili wasiongezeke. Cha pili ni kuhakikisha wanaua tamaduni zao kwa maana wao ni watumwa lazima wafuate tamaduni za mabwana wao. Hicho ndicho kilichotokea kwenye mji mingi saveges wakizungu na wakiarabu walikuwa more brutal kwa african brother. Kwasababu walihofia uwezo wa kufikiria wa wale mabwana weusi.
kama waarabu ndio wabaya sana wameharibu sana brain za jamaa zetu
 
this is also a falacy. Kama mtu mweusi ndiye asili ya ustaarabu na maendeleo duniani alipatwa na nini leo tuko hivi. ustaarabu ziro kabisa. ukija huku mijini kama Dar es Salaam wanakunya hadi kwenye mifuko ya Malboro na kutupa jalalani. Tusijikweze sana na kutafuta huruma ya dunia. Sisi watu weusi tumechelewa sana kuzinduka. kama ni evolution basi ilianzia kwa watu weupe, wakafuta wengine kama Wahindi, Waarabu n.k ndo tunafuata sisi wa mwisho. Wakati wenzetu walishafikia hadi hatua ya kuwa na magari, meli na hata kuzindua ndege sisi bado tulikuwa hatuvai hata nguo. tusijidanganye sana kwamba tulikuwa mbele zamani wakati ni dhana ya uwongo iliyokubuhu. Tuache kutafuta kuhurumiwa, tupambane hali zetu.
Mkuu figisu alizochezewa mtu mweusi hazijafanyika ndani ya mwaka au miaka 10,ni zaidi ya miaka 500.
Waafrika jamani tutafute historia halisi ya Waafrika iliyoandikwa bila bias yoyote.

Sasa unafikiria uvamizi uliofanywa,uporoji wa mali asili na nguvu kazi,uharibifu wa ujuzi/elimu ya mwafrika,ufutaji wa utamaduni wetu,upandikizaji wa mfumo wa elimu usioendana na mazingira yote ya Kiafrika,ukoloni rasmi,ukoloni mambo leo,ubaguzi wa rangi unafikiri madhila haya yote yanaweza yakafanya mtu kusimama katika ukuu wake?Kwa msaada zaidi kama unataka kujua tafuta kitabu cha mwanahistoria nguli wa Kisenegali,anaitwa Cheikh Anta Diop kinaitwa,African Origin of Civilization, Myth or Reality. Bwana Diop alikuwepo kwenye mkutano maarufu wa UNESCO miaka ya 70 iliokua unajadili asili ya watu wa Misri ya kale,huyu bwana aliwashinda Wazungu pale alipothibitisha hoja kua lugha ya Wamisri wa kale ilikua inashabihiana sana na lugha ya kabila huko Senegali hivyo basi hao Wamisri wa kale walikua ni watu wenye asili ya weusi.Kwa maana hiyo Wamisri asili[Achana na hawa waarab unaowaona sasahivi ambao walikuja hapo baada ya Misri kutekwa na Waroma,baadae Wagiriki na ndio wakaja Ottomans(waarab)] ndio waliwafundisha akina Plato na Aristotle hiyo philosophia wanaosemekana wao ndio wababa .
 
Kubali kwamba wenzetu walitutangulia kila kitu ikiwemo kustaarabika na kupata maendeleo. Kama sisi tulikuwa juu yao kwanini na sisi hatukuvamia Ulaya, Asia na bara la Amerika kwenda kutafuta makoloni na fursa za rasilimali? wakati wazungu wanakuja huku kwetu sisi bado tulikuwa katika ushamba wa hali ya juu sana. bado tulikuwa tunaishi katika mashimo na mapango na nyumba za tembe kwa waliojitahidi. tulikuwa zaidi ya Wahdzabe unavyowaona leo. habari ya shule ndo usiseme kabisa. haikuwepo kabisa zaidi ya kufundishana jando. TUKUBALI UHALISIA KUWA TULIKUWA NYUMA NA BADO TUP[O NYUMA SANA, HIVYO TUPAMBANE NA HALI ZETU.
 
Tatizo wewe ni mbishi na hautaki kujua,nani amekwambia hawakuvuka nje kwenda kusaka makazi sehemu nyingine?soma kaka,soma historia tena si hyo ya kina Nyambari Nyangwine na Major Events.Hyo Spain unavyiona hapo ishatawaliwa na weusi kwa miaka mingi tu,Columbus alivyofika Marekani alikuta tayari kuna weusi walishafika kitambo,Australia yenyewe waingereza waliikuta na weusi ndio nchi yao,visiwa vya Papua New Guinea wapo weusi.

Nikuulize swali,hivi kwanini kwenye kila lugha ya asili kwa makabila yote kuna maneno ambayo ukiyatafsiri maana yake ni "soma" na "andika", sasa haya maneno walikua wanayatumia wapi kama shule zililetwa na hao wazungu wako?

Daah katika kuhakikisha white supremacy inatawala na African inferiority inajikita vizazi mpaka vizazi wazungu wamefanikiwa sana.
 
Back
Top Bottom