hiyo ni kutafuta huruma ya ulimwengu. Waafrika tukubali kwamba tuko nyuma. tupambane na hali zetu, tusonge mbele. tusijidanganye na historia feki. Eti tulishatawala Ulaya!!!. Alitawala haanguki jumla jumla. Iangalie Babeli (Iraq), Iangalie Uajemi (Iran), Angalia Ugiriki, angalia na Roman Empire (Italy). kwa akili tu ya kawaida, unaziona zinafana na Tanzania? maisha yao yanafanana na ya Wagogo wa Dodoma? Aliyewahi kuwa juu hawezi kuanguka jumla jumla hadi anakuwa hana nguo na anaishi katika mashimo. Wakati wakoloni wanakuja sisi tulikuwa katika mashimo. Waulize babu zako kama waliwahi kuwa na maendeleo kabla ya Wazungu zaidi ya kumiliki wake ambao wapo uchi.
TUACHANE NA HISTORIA FEKI, TUFANYE KAZI KWA BIDII, TUSOMESHE WATOTO ILI NA SISI SIKU MOJA TUWE KAMA CHINA NA MAREKANI INGAWA WAKATI HUO WENYEWE WAKATUWA LEVEL NYINGINE YA JUU ZAIDI.