ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,551
TrueUnabishana na mtu asiyejikubali hakuna mahali mtu mweupe alituweza kama kutuaminisha sisi ni weak people mwambie akatafute historia ya mtu mweusi kwenye piramids za misri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
TrueUnabishana na mtu asiyejikubali hakuna mahali mtu mweupe alituweza kama kutuaminisha sisi ni weak people mwambie akatafute historia ya mtu mweusi kwenye piramids za misri
Thank you mother goddess, bado wanaifuta historia...lakini hawawezi, technology kubwa na sayansi vilishamiri bara hili, wajenga piramidi hawakushindwa kujenga meli kuvuka bahari kuu....walifanya hivyo kitambo.....Na kuhakikisha anaeneza dunia nzima kuwa Timbuktu ni mahali ovyo kabisa kwa kutumia Hollywood!
Kweli kabisa nduguKama tulistaarabika tulijizua vip kutokuchuliwa utumwani,unakuta mtu mmoja ana bunduki anaswaga makundi ya watu porini,MTU anatumwa apeleke barua kwa DC kilometer 40 akifika DC anaisoma barua kumbe barua inamtaka muhusika awekwe ndani au alambwe viboko.Kulikuwa na magwiji wa waganga na walozi wa hali ya juu,lkn walishindwa kuzuia utumwa hadi ulipositishwa na waliouleta baada ya uvumbuzi wa machine,hata Uhuru walitupa wao baada ya kuona kutawala direct ni gharama wakatupa Uhuru bandia kupitia kwa wakoloni weusi ili watunyonye wakishirikiana na wakoloni weusi, ndo maana miaka 50 ndani ya kujitawala Africa hakuna maendeleo, wakati wakoloni weupe walitawala mda mfupi kuliko tulioupata baada ya Uhuru lkn walileta maendeleo yanayoonekana,ikiwemo miji, miundombinu,mashule,nk.Mkoloni mpya kwa Africa ni China kupitia mkoloni mweusi ambae ndo mnufaika mkubwa kwa sasa wa raslimali za africa, kwake tutegemee tu kuiweka Africa bond km ilivo Bandari ya Malaysia na Srilanka.
Tuna ushahidi wote, ijapokuwa wamejaribu Sana kufutaTatizo la haya maneno cjawahi ona solid evidence kuthibitisha haya....najiuliza maandishi yap haswa ni waafrica kwa asili...kwa michoro ya kondoa irangi na mingine tunajenga hoja gani...mimi ni mtanzania na napenda kuwa mtanzani mweusi ...ni seme ni mbaguzi wa rangi pia ndani ya moyo wangu haswa ninapoona mweusi anashindwa na mzungu mf. mpira so nadhani kama ningekua na mamlaka baadhi ya maamuzi yangu yangeamua kwa rangi black first.....lakini nimeishi na wazungu wengi wanatabia tu kama za watu wa mbagala rangi tatu na wakati mwingine wachafu zaidi ya hapo...kunya ovyo..kula ovyo..kutokuoga na mengine...kusema kweli kuna vitu vingi sana wazungu wametuzidi kutokana na maisha ya sasa yalivyo (ukisasa) ni maisha yao ya kila siku yaliyopo africa pia mf..namna mzungu anavyokula, maamuzi yao...uvaaji wao..maongezi...hata jinsi tu ya kufunga kamba za kiatu ni kama wako more advance kuliko sisi...nao pia tukiwa katika maisha yetu halisi tumewazidi mf.kukata majani kwa panga, kuchinja mbuzi, kula ugali na vingine kwa mikono,..kazi nyingi za mikono zisizo na machine wabongo tupo vizuri......so kusema waafrica ndio tulikua the first ni kama uzushi flani hivi bila kuwa na evidence kuna vitu kama akili ni nature tu hata ufanyweje zinabaki...lakini nikiangalia hata wamasai na kabila nyingine za kibantu nyingi huoni huo uhalisia wa kuwa waliku vizuri kuliko wazungu......natamani watokee watu wanye uwezo wa kuthibitisha huo ukweli na watuambie tulipotelea wapi....ntakuwa mbaguzi plus now.
Tatizo la haya maneno cjawahi
Tunakuletea solid evidence kukuondolea dukuduku lakoTatizo la haya maneno cjawahi ona solid evidence kuthibitisha haya
Beautiful!
Si a google tu jamani!Tunakuletea solid evidence kukuondolea dukuduku lako
Hatukupata mudawa ku prosper without external interferencesSasa walienda kustaarabisha wenzao wao wakarudi porini au wale Elite waliondoka wote hawakurudi
Tutamtafunia na kumtafsiria na kumletea kwenye sahaniSi a google tu jamani!
Duh!Kama tulistaarabika tulijizua vip kutokuchuliwa utumwani,unakuta mtu mmoja ana bunduki anaswaga makundi ya watu porini,MTU anatumwa apeleke barua kwa DC kilometer 40 akifika DC anaisoma barua kumbe barua inamtaka muhusika awekwe ndani au alambwe viboko.Kulikuwa na magwiji wa waganga na walozi wa hali ya juu,lkn walishindwa kuzuia utumwa hadi ulipositishwa na waliouleta baada ya uvumbuzi wa machine,hata Uhuru walitupa wao baada ya kuona kutawala direct ni gharama wakatupa Uhuru bandia kupitia kwa wakoloni weusi ili watunyonye wakishirikiana na wakoloni weusi, ndo maana miaka 50 ndani ya kujitawala Africa hakuna maendeleo, wakati wakoloni weupe walitawala mda mfupi kuliko tulioupata baada ya Uhuru lkn walileta maendeleo yanayoonekana,ikiwemo miji, miundombinu,mashule,nk.Mkoloni mpya kwa Africa ni China kupitia mkoloni mweusi ambae ndo mnufaika mkubwa kwa sasa wa raslimali za africa, kwake tutegemee tu kuiweka Africa bond km ilivo Bandari ya Malaysia na Srilanka.
Kulikuwa na familia ya watu weusi kwenye meli ya Titanic, no one mentioned anything aboutBeautiful!
911
Pilot aliyeamua kuiangusha ndege Pennsylvania badala ya whitehouse alikuwa ni mweusi!
Lakini hakuna anayemsifia!
Hayo ni mambo ya juzi tu!
Watanzania tumeamka sasa!
TrueJana yako ndio Leo yako, na Leo yako itaunda Jana na kesho yako
Kuna wale aborigines wa Australia,kuna black wa India, lkn wengi wanaishi maisha duni sana km bushmen,Sasa walienda kustaarabisha wenzao wao wakarudi porini au wale Elite waliondoka wote hawakurudi
AiseeKulikuwa na familia ya watu weusi kwenye meli ya Titanic, no one mentioned anything about
Walioenda nje ya Africa bahati mbaya wako wanaishi kiafrica bado kama kule Sentinel india au kule Papua New GuineaHatukupata mudawa ku prosper without external interferences
Duh!
Google na JF zimetofautina jin na ukubwa server na founders lakini contents ni hizi hizi tu ...mf jaribu kama hajaona JF humoSi a google tu jamani!
Sasa mnalia nini.! Ikiwa ninyiThank you mother goddess, bado wanaifuta historia...lakini hawawezi, technology kubwa na sayansi vilishamiri bara hili, wajenga piramidi hawakushindwa kujenga meli kuvuka bahari kuu....walifanya hivyo kitambo.....
Alalaye......!!!!!!!????? Ukimwamsha.....!!!!!!!Sasa mnalia nini.! Ikiwa ninyi
ndio mliowafunza ujanja huo!?
Kama ni hivyo,wanachukua kinachowastahili,wasingejua
Bila shaka kama si ninyi wenyewe.
Kwani Hamjiamini?
Hasaidiki kabisaMsaidie mwenzio, sio kwa matusi