Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Kinachotumaliza sisi weusi Woga wa kimapokeo kutoka kwenye maandiko ya kihistoria yaliyoandikwa na wazungu Kwamba tulianzia kuwa Masokwe je hao wazungu walikuwa sokwe gani?
Hawa wahadzabe wasiostaarabika wanajua hata hayo mapokeo?
 
Mada husomi kujifunza unaleta ubishi wa ngumbalu
 
We unadhania ulikuwa nyani albino????
Mimi sikuwa nyani wala Albino siyo Wazungu. Uzembe na ujinga wa babu zetu ndo umetufanya tuwe hapa tulipo leo. na sisi tukiendelea kuwa na ujinga wa kuamini kuwa tulikuwa mbali zamani wakati babu zetu wanasema hawakuwa hata nguo wakati wakoloni wanakuja tutalaumiwa na wajukuu zetu kwa jinsi tulivyokuwa wajinga na wapumbavu. Tufanye kazi, tusomeshe watoto Sayansi na Ufundi ili twende mbele.
 

Mungu siyo mkatili wala siyo m,baguzi hadi mwingine amfanye kuishi kwenye mashimo na mapango (mfano wahadzabe na mbilikimo) huku mwingine aishi maisha ya juu sana. Ujinga wa watu hao ndo unawafanya waishi maisha duni. Sisi tukiendelea na huo ujinga wa kuamini kuwa Mungu kataka tuwe hivi kamwe tutalaumiwa na wajukuu zetu. Ujinga na uvivu wa babu zetu ndo umetufanya tuwe hapa tulipo leo na sisi tukiendeleza huu ujinga wa kuamini ujinga tutaendelea kuwa maskini.
 
Yeah,tales za ubabaishaji sababu kwenye vitabu ulivyosoma na vyombo vingine vya habari kulikua na "authentic" tales kumhusu mtu mweupe,na hizo ndio haswaa unazipenda na kuziabudu.
 
Wazungu wametembea Sana uchi, Karne ya 15 tu hapa wameuliwa maelfu hasa wanawake kwa Imani za kishirikina

So in 1917, they started picketing the White House, an unprecedented act at the time. Many women were arrested and sent to jail, but public opinion shifted. The 19th Amendment went to Congress in 1918 and was ratified by the states on August 18, 1920. American women had finally earned the right to vote.

Ameruhusiwa Mwana mke kupiga kura mmarekani hapo karne ya 18, ndugu nyie anzeni kupenda na kuthamini vya kwenuna utu wenu, mwenzenu mabaya Yake anaficha anafunua ya kwenu na kuyachafua Ni nyi mnasapoti na kuchekelea
 

Wazungu wametembea Sana uchi, Karne ya 15 tu hapa wameuliwa maelfu hasa wanawake kwa Imani za kishirikina

So in 1917, they started picketing the White House, an unprecedented act at the time. Many women were arrested and sent to jail, but public opinion shifted. The 19th Amendment went to Congress in 1918 and was ratified by the states on August 18, 1920. American women had finally earned the right to vote.

Ameruhusiwa Mwana mke kupiga kura mmarekani hapo karne ya 18, ndugu nyie anzeni kupenda na kuthamini vya kwenuna utu wenu, mwenzenu mabaya Yale anaficha anafunua ya kwenu na kuyachafua Ni nyi mnasapoti na kuchekelea
 
Kwa nini watu wanakuwa wabaguzi, wenye kujidharau na kudharau wenzao??? Kulingana na Jared, ubaguzi wa rangi unahusisha imani kwamba watu wengine hawana uwezo wa kufunzika/kustaarabika. Au kuwa binadamu - kwamba ni tofauti na sisi, na wao ni chini ya binadamu. Ilikuwa kupitia kazi yake huko New Guinea kwa miaka 30 iliyopita ambayo imemhakikishia kuwa si kweli. "'Wao' Ni watu kama sisi na wana busara kuliko sisi," anasema. Lakini labda sababu kuu ambayo watu wanatafuta maelezo ya ubaguzi wa rangi, anasema, ni kwamba hawana jibu lingine. Mpaka kuwe na jibu lenye kushawishi kwa nini historia ilichukua mkondo iliyochagua , watu watakuja nyuma kwenye maelezo ya ubaguzi wa rangi. Jared anaamini kwamba athari kubwa njema kwa dunia ya mawazo inaweza kuwa i kubomoa msingi wa nadharia za rangi ya historia na maoni ya ubaguzi wa rangi.
Jared Diamond
 
Wanadai kwamba Kuna Europe na primitive people or the non Europeans
Lakini hawataki kukubali watu walistaarabioka maelfu ya miaka kabla yao, Ulaya
Africa China na India, na ndio walioistawaliost Ulaya
 
Sasa na wewe unapotosha! Historia inasema binadamu wote wakiwemo wazungu tumetokana na masokwe na si watu weusi tu.
Mkuu Hao masokwe walianzia EA kama walivyodai wao je hao wazungu walitokana na hawa sokwe weusi au sokwe wa rangi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…