Achana na story za kusadikika. Tupige kazi, tuache uvivu, tufikiri nje ya box ili tuweze kufika kule waliko wenzetu. Tukiendeleea kusubiri huruma za dunia ooh tulikuwa mbali zamani, ohh tulihujumiwa na wazungu n.k hazitasaidia. Wachina wamesonga mbele, walikuwa kama sisi, Wahindi wanasonga mbele, Waarabu wamepiga hatua. Na sisi tupige hatua. Achana kabisa na story za kusadikika. KAMA KUSOMA HUJUI SI HATA PICHA UNAIONA? DINI ZIMELETWA NA WATU WA KUJA, ELIMU IMELETWA NA WATU WA KUJA. HAO WAAFRIKA WALITAWALA DUNIA KWANINI HAWAKUACHA HATA DINI YAO HUKO? TUACHE KULALAMIKA, TUJITUME.