Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

tuache kujivika misifa kwa nadharia za kufikirika 'eti sisi watu weusi ndio tulianza kwenda ulaya na asia kabla ya ngozi nyeupe kuja kwetu!!' labda kama mababu zetu walikua wanaenda na ungo usiku wanawawangia wazungu then wanarudi kimyakimya.
 
Huko tulishatoka, huwezi kuturudisha, Olduvai gorge iko ujerumani bwana!!! Na joho lako LA nyerere kumbe Black Skin, White Masks ???!!!!!
 
Baada ya haya maelezo yooote (kuhusu mtu mwenye rangi nyeusi) mwisho wa siku tunaambiwa et kwamba ukristo na uislamu ndiyo uliyofanya na unaendelea kutufanya kuwa hivi tulivyo waafrika,na hivyo tunatakiwa turudi kwenye Imani za mababu zetu.

Kuna muda huwa nafikiri lengo hapa ni kuzipiga vita hizi imani za ukristo na uislamu,na ndiyo maana zinabebeshwa mzigo wa lawama kuwa ndiyo chanzo cha matatizo yetu waafrika.
 
Utendee mjadala haki,sababu zimetolewa nyingiii, za kiuchumi, kiitikadi, kitamaduni, hujuma, taaluma na kadhalika, imani mi sehemu moja wapo ya suluhisho, na mengineyo, walijaribu sasa mkoloni akaondoka , mbona zimefeli?? Vyama vingi mbona vimefeli??? Ni wakati wakuangalia upya, wapi tulifeli, na kujaribu mbinu mpya mbadala
 
tuache kujivika misifa kwa nadharia za kufikirika 'eti sisi watu weusi ndio tulianza kwenda ulaya na asia kabla ya ngozi nyeupe kuja kwetu!!' labda kama mababu zetu walikua wanaenda na ungo usiku wanawawangia wazungu then wanarudi kimyakimya.
Mzungu Mungu au sio, mweusi shetani Bwana nyerere, au sio???l
 
Utendee mjadala haki,sababu zimetolewa nyingiii, za kiuchumi, kiitikadi, kitamaduni, hujuma, taaluma na kadhalika, imani mi sehemu moja wapo ya suluhisho, na mengineyo, walijaribu sasa mkoloni akaondoka , mbona zimefeli?? Vyama vingi mbona vimefeli??? Ni wakati wakuangalia upya, wapi tulifeli, na kujaribu mbinu mpya mbadala
Hayo mambo mengine yametokea kipindi cha ukoloni?
 
Aliyeniona Mimi amemuona baba????!!!!! YEsu Ni Mungu sio????
Usitafasiri vitu kwa wepesi
Mno

Na shutuma kwa wengine na
Uelewa wao kwa imani zao haukuhusu

Kama wewe umejifunza imani
Ile ambayo unaona tumesahau
Na unahisi inatufaa kwa wakati huu,ni vema ukajuza na
Kitukumbusha

Si vema wakati wote muwe mnaponda imani hali mbadala wake hamna

Bla Bla za kujipa uhalali nyiiingi....kwa ufupi hazina mashiko
 
tuache kujivika misifa kwa nadharia za kufikirika 'eti sisi watu weusi ndio tulianza kwenda ulaya na asia kabla ya ngozi nyeupe kuja kwetu!!' labda kama mababu zetu walikua wanaenda na ungo usiku wanawawangia wazungu then wanarudi kimyakimya.
Umesoma tu title ya thread ukakimbilia kucomment.hovyooo.Babu yako alikua mchawi tu kila mtu anajua.Hapa atuzungumzii mambo ya 1884.Tunazungumzia mambo ambayo yalikuwepo hata kabla ya kuanza kwa kalenda ya sasa.
 
Usitafasiri vitu kwa wepesi
Mno

Na shutuma kwa wengine na
Uelewa wao kwa imani zao haukuhusu

Kama wewe umejifunza imani
Ile ambayo unaona tumesahau
Na unahisi inatufaa kwa wakati huu,ni vema ukajuza na
Kitukumbusha

Si vema wakati wote muwe mnaponda imani hali mbadala wake hamna

Bla Bla za kujipa uhalali nyiiingi....kwa ufupi hazina mashiko
Kimekuuma Nini we ulisema we si mkiristo?????
 
tuache kujivika misifa kwa nadharia za kufikirika 'eti sisi watu weusi ndio tulianza kwenda ulaya na asia kabla ya ngozi nyeupe kuja kwetu!!' labda kama mababu zetu walikua wanaenda na ungo usiku wanawawangia wazungu then wanarudi kimyakimya.
Kimyaaaa vepeeeee!!!!! Huna Cha kumjibu bi Fatima????
 
tuache kujivika misifa kwa nadharia za kufikirika 'eti sisi watu weusi ndio tulianza kwenda ulaya na asia kabla ya ngozi nyeupe kuja kwetu!!' labda kama mababu zetu walikua wanaenda na ungo usiku wanawawangia wazungu then wanarudi kimyakimya.
Umepwewa!!!!!
Rudi hekaluni tuzungumze vizuri mtoto
 
Back
Top Bottom