afrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.