Ncha ya Mkukina
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 561
- 694
- Thread starter
- #521
[emoji2][emoji2][emoji2] hebu nipe evidence hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2] hebu nipe evidence hapa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji119]
Ebu nieleweshe inakuaje mtu aliyekuwa katangulia maendeleo na kustaarabika na kudai kwamba alikuwa mbele na akili anakuja kutawaliwa na historia yake kufutwa kabisa?Mkuu figisu alizochezewa mtu mweusi hazijafanyika ndani ya mwaka au miaka 10,ni zaidi ya miaka 500.
Waafrika jamani tutafute historia halisi ya Waafrika iliyoandikwa bila bias yoyote.
Sasa unafikiria uvamizi uliofanywa,uporoji wa mali asili na nguvu kazi,uharibifu wa ujuzi/elimu ya mwafrika,ufutaji wa utamaduni wetu,upandikizaji wa mfumo wa elimu usioendana na mazingira yote ya Kiafrika,ukoloni rasmi,ukoloni mambo leo,ubaguzi wa rangi unafikiri madhila haya yote yanaweza yakafanya mtu kusimama katika ukuu wake?Kwa msaada zaidi kama unataka kujua tafuta kitabu cha mwanahistoria nguli wa Kisenegali,anaitwa Cheikh Anta Diop kinaitwa,African Origin of Civilization, Myth or Reality. Bwana Diop alikuwepo kwenye mkutano maarufu wa UNESCO miaka ya 70 iliokua unajadili asili ya watu wa Misri ya kale,huyu bwana aliwashinda Wazungu pale alipothibitisha hoja kua lugha ya Wamisri wa kale ilikua inashabihiana sana na lugha ya kabila huko Senegali hivyo basi hao Wamisri wa kale walikua ni watu wenye asili ya weusi.Kwa maana hiyo Wamisri asili[Achana na hawa waarab unaowaona sasahivi ambao walikuja hapo baada ya Misri kutekwa na Waroma,baadae Wagiriki na ndio wakaja Ottomans(waarab)] ndio waliwafundisha akina Plato na Aristotle hiyo philosophia wanaosemekana wao ndio wababa .
Roho mbaya mweusi haijui, ndio sababu mweusi Ni mfano wa Uungu.ukimwona mweusi anafanya roho mbaya, ni mwigo..sio asili yetu..hivi unajua Siri ya rangi yako nyeusi? Jua Lina rangi nyeusi kiini chake, Wana sayansi wamethibitisha hilo....hivi unajua weupe maana yake Nini??? Kamuulize babu na bibi yako kisa Cha mazeruzeru katika itikadi nyeusi, au fuatilia mutabaruka clip zake you tubeEbu nieleweshe inakuaje mtu aliyekuwa katangulia maendeleo na kustaarabika na kudai kwamba alikuwa mbele na akili anakuja kutawaliwa na historia yake kufutwa kabisa?
Hivi unadhani mfano leo tunaweza futw historia ya mzungu?
Still it does not explain kama mtu mweusi alikuwa that smart kuwazidi weupe iliwezeaanaje wakampiku na kufuta historia yake yote?Roho mbaya mweusi haijui, ndio sababu mweusi Ni mfano wa Uungu...hivi unajua Siri ya rangi yako nyeusi? Jua Lina rangi nyeusi kiini chake, Wana sayansi wamethibitisha hilo....hivi unajua weupe maana yake Nini??? Kamuulize babu na bibi yako kisa Cha mazeruzeru katika itikadi nyeusi, au fuatilia mutabaruka clip zake you tube
Biblia ni kitabu Cha mafumbo, ukweli wote umefichwa mule
Fuatilia mjadala uliko anzia, yameshajibiwa Ndugu, kazi hiyo wameifanya kuanzia karne ya kwanza tangu kuzaliwa masia,Ni miaka 2,18000 Sasa, lakini imekwishaStill it does not explain kama mtu mweusi alikuwa that smart kuwazidi weupe iliwezeaanaje wakampiku na kufuta historia yake yote?
Inawezekanaje mtu uliyemzidi akili maendeleo na uwezo akafanya hilo?
Basi walikuwa smart mpaka wameweza kupanga na kufanikisha jambo kubwa kama hiloFuatilia mjadala uliko anzia, yameshajibiwa Ndugu, kazi hiyo wameifanya kuanzia karne ya kwanza tangu kuzaliwa masia,Ni miaka 2,18000 Sasa, lakini imekwisha
Fitna yao, tuna amka Sasa
1. Population controlEbu nieleweshe inakuaje mtu aliyekuwa katangulia maendeleo na kustaarabika na kudai kwamba alikuwa mbele na akili anakuja kutawaliwa na historia yake kufutwa kabisa?
Hivi unadhani mfano leo tunaweza futw historia ya mzungu?
Kama waliweza fanya hayo na wakaweza basi walikuwa smart kuliko mtu mweusi.1. Population control
2. Technological destruction
3. Culture destruction
Haikuwa mission ya mwaka mmoja it take a lot century,
afrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.Unajua bible imeandika vizuri tu na agano la kale lote linaelezea historia ya watu weusi na anguko lao. Agano jipya tunaona warumi. Hawa Ndiyo walikuja kuchakachua mambo. Watu weusi nijamii iliyo potea. Hebu jaribu kutazama kwa jicho la tatu. Kwanini mataifa makubwa yote ya miaka hii yapo nnje ya Africa?
Asante vizier1. Population control
2. Technological destruction
3. Culture destruction
Haikuwa mission ya mwaka mmoja it take a lot century,
Hatuna historia zinazo fanana....angalia kwa mfano india, ijapo walikuwa colonized lakini misingi yao ya dini imewasaidia,vivyo hivyo Korea, Japan na China, sasa wewe umetupavyako vyote, afu hujui kimekufika Nini? Compare and contrast maishayako na ya wenzio ili ujue mapungufu yakofrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
Asante sasa unaanza kuja vizuri kalipeniafrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.
Sema mental attitude Kama hiyo uliyo nayo ya kinyapara haita kusaidia Sanaafrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.
Na huo ujinga, na tope unaokusumbua kichwani wa wa kuto taka kufikiri , ndio utakuangushaafrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.
Watu wamekufunga minyororo unasema ndivyo nilivyo, tuambie vipi tufungue minyororo hii!!!!!Na huo ujinga, na tope unaokusumbua kichwani wa wa kuto taka kufikiri , ndio utakuangusha
Kinyago Cha Nyerere akili ya zeruzeruafrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.
Hatukatai hilo, hawa jamaa wapo smart, they're hybrid. Kuna maandiko yanasema baadhi ya malaika waliona watoto wa wanadamu kuwa ni wazuri wakatoka huko na kuja kuwaingilia.Kama waliweza fanya hayo na wakaweza basi walikuwa smart kuliko mtu mweusi.
Siyo jambo rahisi ku control population ya jamii iliyokuzidi akili uwezo na maarifa. Kama ukiweza basi lazima uwe na maendeleo ya kisayansi kuizidi kama kupitia madawa yanayosababisha ugumba.
Umesema technology destruction, we kama ni mwerevu boya anawezaje kuharibu uvumbuzi wako? Basi kama akiweza ina maana ni smart zaidi yako.
Culture destruction hii inadhihirisha wazi walikuwa wako juu zaidi ya mweusi ndiyo maana waliweza kuua utamaduni wake. Angalia jamii zenye nguvu na kubwa huwezi kuharibu tamaduni zao mfano mzuri wahindi mhindi kokote utakapomkuta awe tajiri au maskini atakuwa kashikiria tamaduni zao hata kama hajawahi kufika india.