Ncha ya Mkukina
JF-Expert Member
- Dec 17, 2017
- 561
- 694
- Thread starter
-
- #541
Tatuzi ni ufahamu wa pamoja Kama Aina watu. Mbona wachaga wana mafanikio Kama kabila? Ni ile misingi ya mila na desturi iwaunganishao...Kama aina bina sisi tulipoteza hiyo....pia wengi wenu upeo wenu wa historia Ni ya ukoloni na utumwa, ngano yenu ya kijinga, eti sababu kanipiga Basi siwezi kupigana, sababu nimefeli Basi Sina akili, huo Ni upumbavu,Kuna vigezo vingine Lukuki vya kutathmini tatizo,mfike mahali muwache ujinga huo na uvivu wa kufikiri,ili tusonge mbeleBasi walikuwa smart mpaka wameweza kupanga na kufanikisha jambo kubwa kama hilo
Kumbe mnaongelea hadithi za kusadikika bila ushahidi.Hatukatai hilo, hawa jamaa wapo smart, they're hybrid. Kuna maandiko yanasema baadhi ya malaika waliona watoto wa wanadamu kuwa ni wazuri wakatoka huko na kuja kuwaingilia.
Angalia leo pamoja na wazungu kuwa smart lakini mchina anaonekana kuwa tishio. Harafu jamii ya kiafrika haiku anguka kutokana na dola za nnje peke yake. Internal disputes pia ilichagia.Kama waliweza fanya hayo na wakaweza basi walikuwa smart kuliko mtu mweusi.
Siyo jambo rahisi ku control population ya jamii iliyokuzidi akili uwezo na maarifa. Kama ukiweza basi lazima uwe na maendeleo ya kisayansi kuizidi kama kupitia madawa yanayosababisha ugumba.
Umesema technology destruction, we kama ni mwerevu boya anawezaje kuharibu uvumbuzi wako? Basi kama akiweza ina maana ni smart zaidi yako.
Culture destruction hii inadhihirisha wazi walikuwa wako juu zaidi ya mweusi ndiyo maana waliweza kuua utamaduni wake. Angalia jamii zenye nguvu na kubwa huwezi kuharibu tamaduni zao mfano mzuri wahindi mhindi kokote utakapomkuta awe tajiri au maskini atakuwa kashikiria tamaduni zao hata kama hajawahi kufika india.
Vizier uko vizuri,Hawa zeruzeru Ni kizazi Cha Mashetani waliolaaniwa,sisi Ni Wana wamungu, mwishiwe tutashinda yote, sisi Ni miunguHatukatai hilo, hawa jamaa wapo smart, they're hybrid. Kuna maandiko yanasema baadhi ya malaika waliona watoto wa wanadamu kuwa ni wazuri wakatoka huko na kuja kuwaingilia.
Unaweza ukawa sawa mkuu lakini, ulimwenguni uliopo sasa nitafauti jabisa na miaka 5000 nyuma.afrika ni ileile na waafri ni walewale mkuu, hakuna kipindi mataifa yetu yalikua juu zaidi ya hapa tulipo alafu tukaporomoka ukweli ni kuwa ata ulaya na asia kuna nchi zilikua nyuma kimaendeleo lakini sasa ni mataifa makubwa.
mfano tunaambiwa tanzania ya miaka ya60 na korea ya 60 zilikua sawa kiuchumi na kimaendeleo lakini korea ya leo sisawa na tz yaleo, kufika level za korea na makampuni kama, LG, SAMSUNG baadae sn.
chakujiuliza "WHY GAPE IMAGED" achana na story mfu za kurise na kufall kwa empires, mali,songhai,ghana,buganda na zingine, zinatulemaza na kujiona tulikua great na matajiri ila mzungu katudhulumu utajiri wetu ndiomaana sisi tuko nyuma.
Sasa mtafuta maishaunaniudhi, mjadala husomi uliko anzia afu unaanza upuuzi, Jana uingereza yamepatikana mabaki mifupa ya kale ya mtu mweusi, evidence tunaleta, husomi, unaleta upuuzi wako, upofu wako haimaanishi hakuna mwezi na nyota, sababu hujavionaKumbe mnaongelea hadithi za kusadikika bila ushahidi.
Kuna mtu aliwahi kuniambia eti raisi wa kwanza wa Marekani alikuwa mweusi kugoogle nikakutana na links kibao kujustify hilo kumbe later nikaja gundua ni kufanana kwa majina basi waafrika ni inferiority complex wakipata kitu hata hawajihangaishi kutafuta ushahidi wanakikuza kuonekana walikuwa juu.
Leteni ushahidi tuacheni kulia lia
haishangazi china kuwa tishio kwa mzungu historia inatuonyesha china ilikuwa imeendelea sana hata kabla ya kuzaliwa kwa kristo, inasemkana bunduki ya kwanza imetengenezwa china, baruti, pesa imetumika kwa mara ya kwanza china. Msafiri Marco polo alisafiri akaenda china na kukaa huko wakati wa utawala wa Kublai Khan akastaajabu aliyoyakuta, baada ya Kublai Khan kufariki karudi kwa Venice, akawa anawahadithia mambo aliyoyaona china watu hawaamini wanaihisi hayawezekani anawadanganya.Angalia leo pamoja na wazungu kuwa smart lakini mchina anaonekana kuwa tishio. Harafu jamii ya kiafrika haiku anguka kutokana na dola za nnje peke yake. Internal disputes pia ilichagia.
kwahiyo leo tukipata mifupa ya kale ya mzungu kijijini kwetu ndiyo justification kuwa alikuwa superior kuliko mwafrika?Sasa mtafuta maishaunaniudhi, mjadala husomi uliko anzia afu unaanza upuuzi, Jana uingereza yamepatikana mabaki mifupa ya kale ya mtu mweusi, evidence tunaleta, husomi, unaleta upuuzi wako, upofu wako haimaanishi hakuna mwezi na nyota, sababu hujaviona
Ni kwa vip basi taifa lililogundua bunduki kuja kunyanyaswa na mjapani?haishangazi china kuwa tishio kwa mzungu historia inatuonyesha china ilikuwa imeendelea sana hata kabla ya kuzaliwa kwa kristo, inasemkana bunduki ya kwanza imetengenezwa china, baruti, pesa imetumika kwa mara ya kwanza china. Msafiri Marco polo alisafiri akaenda china na kukaa huko wakati wa utawala wa Kublai Khan akastaajabu aliyoyakuta, baada ya Kublai Khan kufariki karudi kwa Venice, akawa anawahadithia mambo aliyoyaona china watu hawaamini wanaihisi hayawezekani anawadanganya.
china siyo jambo la kushangaza kuendelea.
Kwanza vizier nikija bongo takutafuta, watu Kama wewe nawahitaji katika hii harakatiUnaweza ukawa sawa mkuu lakini, ulimwenguni uliopo sasa nitafauti jabisa na miaka 5000 nyuma.
unabisha na wenzio wamekiri kwamba walioanzisha maendeleo kule Ni babu zako???? Zeruzeru hao wamekiri, sa we unabishana Nini???? Mbona unakuwa kituko??? Wenzenu walishaachaga hayo mabiblia zamani, nyie ndio mmebaki mnaabudu wayahudikwahiyo leo tukipata mifupa ya kale ya mzungu kijijini kwetu ndiyo justification kuwa alikuwa superior kuliko mwafrika?
Sidhani kama uwezo wa mtu unakuwa justified hivyo.. huenda mimi ni mpuuzi labda
china ilianguka kutokana na vita baina yao wenyewe, lakini historia yao mpaka leo haijafutika ipo kabisa japo mjapan alitaka futa kabisa utamaduni wao.Ni kwa vip basi taifa lililogundua bunduki kuja kunyanyaswa na mjapani?
mimi ukiniuliza mstari hata mmoja wa biblia siwezi kunukuu... Kuna mengi yana jicontradict mle uwa nikijaribu kusoma ndiyo nazidi changanyikiwa labda uenda nakuwa sina upako kama wanavyosema wengine.unabisha na wenzio wamekiri kwamba walioanzisha maendeleo kule Ni babu zako???? Zeruzeru hao wamekiri, sa we unabishana Nini???? Mbona unakuwa kituko??? Wenzenu walishaachaga hayo mabiblia zamani, nyie ndio mmebaki mnaabudu wayahudi
You don't dig mkuu. Kwahiyo hiki tunacho kijadili hapa ni nightmare? Go to library find where you come from. Siyo unasoma kuhusu chines na Japanese tu.china ilianguka kutokana na vita baina yao wenyewe, lakini historia yao mpaka leo haijafutika ipo kabisa japo mjapan alitaka futa kabisa utamaduni wao.
sasa mwafrika hata historia hiyo mnayodai haipo kabisa yani imefutika kabisa na huenda hakuna kitu kama hicho..
china ina historia kubwa sana na ipo kabisa.
India ni kati ya nchi yenye historia kuba, hata kabla ya kuzaliwa kwa Kristo historia yao na mambo makubwa jamii ya Kihindi iliyoyafanya ipo. Imetawaliwa na Mwingereza lakini historia yao ipo na well documented.
why only Africans ndiyo hiyo historia ya hayo makubwa na mazuri mnayodai kuwa tulikuwa juu kuliko jamii zote hayapo?
Kwa hiyo wewe unafurahia kisa kasemwa mwafrika na siyo kwasababu ni kweli? Mbona haya mambo hayako documented zaidi ya kuokoteleza habari sijui hivi sijui vile na ukizidi zichimba zaidi unakuja kugundua hakuna ukweli.Yaani inafkia mahali, wana sayansi wa kizungu wanasema mtu mweusi ndio alistaarabisha ulaya, alafu mswahili anabisha?????? Yaani unabisha kufurahisha jopo, sio kwa dhati....acha ujinga ndugu
Waafrika tunasumbuliwa na inferiority complex kujaribu kuonyesha tuliwahi kuwa juu zaidi ya hawa wakati hakuna hata ushahidi wa hilo. Badala ya kuhangaika kujustify kitu ambacho hakipo kwanini tusihangaike kuendelea na kuwa jamii bora sasa kuliko kuhangaika na historia ambayo haipo.You don't dig mkuu. Kwahiyo hiki tunacho kijadili hapa ni nightmare? Go to library find where you come from. Siyo unasoma kuhusu chines na Japanese tu.
Sijawahi kuona watu wapumbavu wasio jipenda Kama wewe, olduvai gorge,Yale mapiramidi, michoro ya mapangoni kote duniani, eti hstoria yetu imefutika kabisa????? Aifute Nani pimbi wewe???! Tulia, soma mjadala huu jifunze, acha ukanjanja wako, kenge wewe.....aduni wao.
sasa mwafrika hata historia hiyo mnayodai haipo kabisa yani imefutika kabisa na huenda hakuna kitu kama hicho..
siyo kwamba sijipendi ila mimi napenda ukweli sipendi kupewa sifa za uongo uongo kisa eti nasifiwa hata kama ukweli naziona hazipo ni bora kuonekana mpumbavu kuliko kuwa mpumbavu kweli kwa kukubari sifa za uongo.Sijawahi kuona watu woumbavu wasio jipenda Kama wewe, olduvai gorge,Yale mapiramidi, michoro ya mapangoni kote duniani, eti hstoria yetu imefutika kabisa????? Aufute Nani pimbi wewe???! Tulia, soma mjadala huu jifunze, acha ukanjanja wako, kenge wewe.....