Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

watu wanajua hizi habari kuwa ziko wikipedia ila kucopy lihabari lote pasipo kulihariri au kuliweka kwenye lugha yetu watu hawasomi, mambo yote yanayoletwa humu watu wanajua kuwa yapo ila wanapenda mtu akiyaandika kwa kiswahili.
back to the topic inawezekana kweli wlikuwa weusi sasa uwezo wetu ulipotelea wapi. hata India kuna kisiwa hawaruhusiwi watu kuingia kuna jamii ya watu weusi yani bado wanaishi zama za kale hivyo hawataki jamii iharibu mila na tamaduni zao ni weusi kama waafrika kabisa yani ni waafrika sasa sijui walifikaje kule @Fatima binti hemedi
 
hiyo ndiyo pyramid kubwa mkuu imejengwa kipindi cha utawala wa mayan ni kubwa kuliko pyramid zote za Egypt. hawa mayan wana mambo ya ajabu waliyofanya yanashangaza kama ya wa Egypt
Ndio sababu MTU mweusi ni wa ajabu,kila alikokwenda alifanya maajabu
 
Soma ndugu....kila kitu kimeelezwa, kila kitu, kwenye nia na moto wa kujifunza watasoma
 
Usiwe asiyetaka jifunza asiyekosa sababu
 
Wangapi wamekufanyia ubaya wewe!!!sababu ya wivu na chuki????
Hamna wanachokifanya ni ujinga! Kanuni za maumbile hazikiukiki
ukiwa smart kuwazidi lazima mwisho wa siku uwashinde hawawezi kukutawala wakikutawala basi hukuwa smart wala hukuwa na nguvu kuliko wao.
 
Usiwe asiyetaka jifunza asiyekosa sababu
siyo kwamba sitaki kujifunza ila mimi mtu kucopy page nzima toka web flani bila kuihariri na kuiandika kwa lugha yetu akaileta humu naona kama ni kuzingua.
watu wengi humu vitu vikiwa katika lugha ya malkia hawasomi wanapenda vitu viwe katika lugha yetu
 
Tusaidiane kutafsiri,nitafanyta hivyo pia, asante kwa taarifa
 
Hizo laana mbona wao wana maisha mazuri kutushinda sisi ambao hatujalaaniwa hizo laana za namna gani mbona sizielewi mimi
Huwajui wazungu, nimeishi nao, mabaya yao hawasemi, wala huyajui,yakifunuliwa yanatisha, hakika ni viumbe waliolaanwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…