mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,931
watu wanajua hizi habari kuwa ziko wikipedia ila kucopy lihabari lote pasipo kulihariri au kuliweka kwenye lugha yetu watu hawasomi, mambo yote yanayoletwa humu watu wanajua kuwa yapo ila wanapenda mtu akiyaandika kwa kiswahili.
back to the topic inawezekana kweli wlikuwa weusi sasa uwezo wetu ulipotelea wapi. hata India kuna kisiwa hawaruhusiwi watu kuingia kuna jamii ya watu weusi yani bado wanaishi zama za kale hivyo hawataki jamii iharibu mila na tamaduni zao ni weusi kama waafrika kabisa yani ni waafrika sasa sijui walifikaje kule @Fatima binti hemedi