Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya



Nini kinakufanya ujumuishe watu weusi? Yaani utadhani unawafahamu hao watu weusi wote. Je unawafahamu wote na asili yao hadi una jumuisha?

Wewe sema mimi(yaani wewe) huna ustaarabu. Na usijumuishe watu ambao hata huwajui wala hamja kutana nao.

Hivi hao wagonjwa weupe wanao wapa wadogo wako wakike au usikute pia ni watoto wako chanjo ya kansa kwa shule za msingi unadhani ndio fallen angels? Wanapinga ulaji wa vitu asili na kukulazimisha utumi mbegu sumu za genetic modified(GMO) ili uwe mteja wao pale ocen road ukapigwe takataka za mionzi na chemotherapy ndio fallen angels? Hao wanao kudanganya kua kisukari na cancer ni magonjwa wakati its just the symptoms za kua your body needs to be ditoxed na imechangiwa na junk foods ulazo walizo kupa hao ndio fallen angels?
Nina mengi ya kuku asa tu sema sioni hata umuhimu. Wewe hujitambui thats why i dont even see the point. Haya nayo yaandika ni kwaajili ya wasomaji watakao kua tayari kurudia asili zao na sio wewe.

Peace.
 
Asante sana king jaffer joffer....wengi sana bado wamejawa tope vichwani kuhusu mtu mweusi
Ncha ya mkukina Asante pia kwa uzi mkali
Huyo khalifa ndio wale wameathiriwa na hamitic theory, ukweli ni kwamba ustaarabu ulianza kusini mwa tufe la dunia yaani Africa kwanza. wasumeri walikuwa watu weusi, waethiopia wasomali ni Mbegu Za watu weusi....hiyo ancient Egypt mzizi wake ni Sudan kusini, nywele Za singa na pua ilochongoka mbona wamejaa africa???? Wenyeji asilia wa india weusi tii.....kasome Kwanza Khalifa sio unakurupuka...nakuelewa na kukusamehe, kwani lazima kikuume kukutwa umedanganywa. Muhamadi mwenyewe alikuwa mweusi tiiii
Hiyo dharau yenu kwa watu weusi Mungu ameiweka makusudi ndipo Nabii Issa akakwambia Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni
 
Mwenye Enzi Mungu naomba uturudishie tena huu utukufu wa mtu mweusi walahi!
Tumechoka kudharauliwa jamani uwiii!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…