Wakili
JF-Expert Member
- Jun 19, 2017
- 531
- 657
Mpka Leo sijajua ni nini kinatufanya tujikweze ila nimeng'amua jambo1,mtu mweusi hana ustaarabu wowote ule na hatukuwahi kupoteza ustaarabu huo wala kuusambaza,mkuu wasumeria ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na ustaarabu after wao wakafata wakush ambao ni misri and ethiopia,ile misri unayoiona(kemet)haikujicontrol yenyewe iliendelezwa na interaction ya hao wasumeria wa Iraq wakatwaa pale mambo yote yaliyokuwako kwao,so ile ni kama kituo tu but chimbuko la yote ni kule kwa kina nimrod....na mtu mweusi hajawai kuwa na akili kuzidi kizazi cha fallen angel never never never......
Nini kinakufanya ujumuishe watu weusi? Yaani utadhani unawafahamu hao watu weusi wote. Je unawafahamu wote na asili yao hadi una jumuisha?
Wewe sema mimi(yaani wewe) huna ustaarabu. Na usijumuishe watu ambao hata huwajui wala hamja kutana nao.
Hivi hao wagonjwa weupe wanao wapa wadogo wako wakike au usikute pia ni watoto wako chanjo ya kansa kwa shule za msingi unadhani ndio fallen angels? Wanapinga ulaji wa vitu asili na kukulazimisha utumi mbegu sumu za genetic modified(GMO) ili uwe mteja wao pale ocen road ukapigwe takataka za mionzi na chemotherapy ndio fallen angels? Hao wanao kudanganya kua kisukari na cancer ni magonjwa wakati its just the symptoms za kua your body needs to be ditoxed na imechangiwa na junk foods ulazo walizo kupa hao ndio fallen angels?
Nina mengi ya kuku asa tu sema sioni hata umuhimu. Wewe hujitambui thats why i dont even see the point. Haya nayo yaandika ni kwaajili ya wasomaji watakao kua tayari kurudia asili zao na sio wewe.
Peace.