Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Ndugu????? Kweli????
Haya
1. Ibada katika Mungu mmoja na wengi
2.Uvumbuzi na tekinolojia ya usafiri baharini
3. Ujenzi
4. Taaluma ya elimu ama academia
5. Uasisi wa falsafa
6. Misingi ya kemia na biolojia, katika uhifadhi wa maiti na tiba za magonjwa mbalimbali
7. Chanzo Cha taaluma ya uandishi
8. Uasisi wa hisabati
9. Taaluma ya kilimo Cha umwagiliaji
10. Taaluma ya mazishi
11. Utawala
12. Utunzi na uasisi wa calenda
13. Taaluma ya unajimu
Kwa uchache
Ni mengiiiii mno ndugu....
Huo uwendawizimu uliokubuhu na ujinga wa kiwango cha PhD. Eti ujenzi! Ujenzi wa nyumba za Tembe? babu zetu wanatuambia walikuwa hata hawaziki, hadi leop bado kuna watu weusi hawaziki, wewe leo unatuambia mazishi., Ipo watu hiyo kalenda iliyoasoisiwa Afrika? ip[o wapi hiyo hesabu ilianzishwa Afrika? nini kilitokea hadi kusiwe na hata kilichoendelrea? Tuache upumbavu, tukubali kwamba sisi ujunga ulichelewa kuondoka, hivyo tunahitaji kuamka na kukimbia kwenda mbele maana wenzetu wapo mbali sana.
 
Kwenye hili nna wasiwasi na hata uhalisia wa Yesu mwenyewe coz isingekua rahisi pia kwa mzungu kumuua mzungu mwenzake kisa eti ni Masia ivo kwa point iyo nahisi hata Yesu mwenyewe alikua mweusi na ikapelekea kutafutwa Mweusi mwenzie kumsaidia msalaba.
Na ndio maana alienda kujificha misri kipindi cha herode coz alikua anafanana na watu wa kule
 
Pia inadhihirisha kwamba blacks walisha kuwa na maingiliano na falme za mbali hapo zamani hata kabla yao kuja kwetu. Australia ina wakazi wa asili ambao ni ma blacks, pia inasemekana walitoka Afrika miaka 50000 kabla ya Yesu.

Huyo Simon ni baada ya kuanguka nadhani. Imani ya kiislamu ina mwingine kwa jina la Lukumani.
Hata bilal aliyekua mpiga adhana kipindi cha mtume
 
Sisi ndio first inhabitants wa dunia,kuna theory mbili za mwanzo wa wazungu,inasemekana wazungu ni uzao wa malaika walioshuka na kuzaa na binadam wakt wa nuhu.

Na nyingine inasema wazungu walianzia kwa esau mtoto wa isaka,isaka alizaliwa mwekundu kwa mujibu wa bible na alikua na malaika wengi,ht yakobo alipojivika ngozi ya kondoo kujifanya esau bdo babake aliamini yeye ni esau kweli cuz alikua na malaika wengi hadi mikononi,sote tunajua wazungu wana malaika mengi kuliko waafrika.
Malaika wengi kwenye nini.
 
Malaika wanamlinda au
 
MTU mweusi ni MTU wa mbengu tatu, ya kibantu ndio kiini, inakuja Tutsi naethiopian type, zote hizi zina vijitawi vyake, hizo ndio asili ya binadamu wote duniani
Ahsanye kwa elimu mzuri ,umemkalisha Hugo sijui izrael mtumwa wa fikra
 
Duuh hapa ninajifunza mengine mapya zaidi....kuhusu Ubantu na jamii ya waethiopia waliyofanya mengi ya kale katika enzi hizohizo za Egypt na Israel ambao binafsi ninajua fika wale si wabantu...(Tuache haya kwanza)

Mimi kikubwa tu ninataka at least unioneshe au unipe reference ya kitu kinachothibitisha kuwa wabantu ndio walidesign na kujenga hizi Old pyramids ambapo hata Mexico zipo.
Umepewa aina tatu za blacks bado umeng'ang'ania wabantu.unaongea kwa ushabiki na hisia kuliko uhalisia
 
Usipo ziona tembe zinazoufanya mkufu wa matatizo yetu, hutajua chanzo Wala hatma, lakini SI kazi ndogo iliyofanyika kutufikisha hapa, kuanzia mapandikizi bandia ya mfumo dini, mfumo elimu, mfumo siasa, mfumo utamaduni, mfumo sayansi na tekinolojia vyote vimetumika kufanya uhalifu na dhuluma hii, kujikomboa tunakwenda ngazi kwa ngazi tukichimoa kila msumari, mkiambiwa dini hizo ukiristo na uislamu Ni kazi ya weupe kutufunga msukuleni, wengine wenu Hapa mnaanza kugombana....lakini ndilo tatizo lenyewe, wewe mweusi si wewe mpaka utoke kwenye usukule wa hii mifumo

Labda niulize swali kwenye ugomvi wa ngumi anayeshinda ina maana ana nguvu kuliko aliyeshindwa sio?

Kama mzungu aliweza kupandikiza kuanzia dini, elimu, siasa na kufanikiwa kufutilia mbali kila kitu chetu, hiyo si inamaana alikuwa advanced na mwenye nguvu kuliko sisi?

Ukishindwa kwenye lolote lile ina maana uwezo wako upo chini ya aliyekushinda, vinginevyo sisi ndo ilibidi tupeleke dini, elimu, siasa na mfumo mzima wa elimu kwao. Sisi ndo ilibidi tukawachukue wao kama makoloni

Story za kujifariji zipo nyingi na tunatamanai zingekua kweli ila uhalisia unakataa. Hadi leo bado tupo pale pale tutaishia kujifariji kwa story za kusadikika tu za miaka ya kale
 
Vitu vyako hivi
naam hili ndio jukwaa langu pendwa kabla yakuja kule kwenye watu wenye elimu zao lakini walioamua kujitoa ufahamu..huwa ninaanzia huku ..nakula madini ya kutosha kutoka kwa wenye akili zao ..kisha ndio naja kule kwaajili yakuongeza siku za kuishi ..maana kuna vimbwanga vya kuchekesha mnoo kule
 
inakusaidia nino hiyo budstani kuwa Afrika wakati mlo wako ni shida.Tupambane na hali zetu ili tusonge mbele. puuzeni huo ujinga, eti tulikuwa fiti!!!!
Unakataa kuhusianisha Sasa yako na Jana yako, Ni uvivu wa kujiuliza kwanini? Unajikwamua vipi ulishasema ndivyo tulivyo???
 
naam hili ndio jukwaa langu pendwa kabla yakuja kule kwenye watu wenye elimu zao lakini walioamua kujitoa ufahamu..huwa ninaanzia huku ..nakula madini ya kutosha kutoka kwa wenye akili zao ..kisha ndio naja kule kwaajili yakuongeza siku za kuishi ..maana kuna vimbwanga vya kuchekesha mnoo kule
Wapi huko hearly mtujuze na siye wakina mkuki
 
Tumejialani wenyewe kwa ujinga wetu na uvivu wetu. eti tulikuwa tumezazidi Wazungu!!! ujinga ni pale unapojifanya ulikuwa bora wakati hata mlo wako ni shida.
Uwe unasoma japo kidogo,hao wazungu wako uwaabuduo, walikuwa mashimo ya vyoo na nyumba za tope si zaidi ya millenia Moja ilopita,ilikuwa Ni mamluki wa kiislamu wengi weusi kutoka Morocco waliopeleka Mwanga Kule, pasipo choyo ya elimu Wala kinyongo wasomi wanakiri ilikuwa Ni uvamizi wa dola la Al andalusia ndio ulio kuwa chachu ya maendeleo Ulaya hadi chanzo Cha dunia mpya ama Renaissance, wakati huo ukiristo ulikuwa gizani kabisa,lakini kwa kuwa umeshajituni kubisha,na hili nalo pia kataa, si ndio zile za pembe tatu yenye pembe nne!!!!!
 
Huo uwendawizimu uliokubuhu na ujinga wa kiwango cha PhD. Eti ujenzi! Ujenzi wa nyumba za Tembe? babu zetu wanatuambia walikuwa hata hawaziki, hadi leop bado kuna watu weusi hawaziki, wewe leo unatuambia mazishi., Ipo watu hiyo kalenda iliyoasoisiwa Afrika? ip[o wapi hiyo hesabu ilianzishwa Afrika? nini kilitokea hadi kusiwe na hata kilichoendelrea? Tuache upumbavu, tukubali kwamba sisi ujunga ulichelewa kuondoka, hivyo tunahitaji kuamka na kukimbia kwenda mbele maana wenzetu wapo mbali sana.
Wewe pamoja na wenzio msiojua historia yenu ya kale hamtabatilisha ukweli, maendeleo huweza kusonga mbele ama kudorola we na wenzio hamjui wako wazungu Leo hii hii wanaishi kama mabedui na hayawani wakinya barabarani na kulala kando haya matapishi yao, Leo hivi!!! haaaa, sasa umefikia mahali unaitukana historia yako, sio makosa yako, huijui
 
Wewe pamoja na wenzio msiojua historian yenu ya kale hamtabatilisha ukweli, maendeleo huweza kusonga mbele ama kudorola we na wenzio hamjui wako wazungu Leo hiihii wanaishi kama mabedui na hayawani wakinya barabarani na kulala kando haya matapishi yao, Leo hii, haaaa, sasa umefikia mahali unaitukana historia yako, sio makosa yako, huiju
hiyo historia wewe inakusaidia nini wakati hata pa kulala shida, dawa shida, mloa taabu.
 
Wapi huko hearly mtujuze na siye wakina mkuki
hahaaa MMU chit chat na jukwaa la jokes ..kule hapakufai mkuu
kichwa kitaanza ku adopte ujinga..wakati bado tuna wategemea kwa haya maarifa mnayo tupatia ..cwajua tena maji masafi hata yakiwa na wingi wa lita 100 yakisha changanyika na maji machafu yenye ujazo wa Lita tatu tu ..huwa inatosha kuondokewa na ile sifa yake ya usafi iliyokuwa nayo awali
 
Uwe unasoma japo kidogo,hao wazungu wako uwaabuduo, walikuwa mashimo ya vyoo na nyumba za tope si zaidi ya millenia Moja ilopita,ilikuwa Ni mamluki wa kiislamu wengi weusi kutoka Morocco waliopeleka Mwanga Kule, pasipo choyo ya elimu Wala kinyongo wasomi wanakiri ilikuwa Ni uvamizi wa dola la Al andalusia ndio ulio kuwa chachu ya maendeleo Ulaya hadi chanzo Cha dunia mpya ama Renaissance, wakati huo ukiristo ulikuwa gizani kabisa,lakini kwa kuwa umeshajituni kubisha,na hili nalo pia kataa, si ndio zile za pembe tatu yenye pembe nne!!!!!
Mimi siwaabudu Wazungu. nachosema ni kwamba historia isiyo na msaada kwako inakusaidia nini. Tupambanane, tufanye kazi kwa bidii, tulipe kodi stahiki, tusomeshe watoto. lakini mbwembwe za oooh! tulikuwa bora! ooph! tulikuwa mbele yao! hizo hazitatuisaidia. tufanye kazi, tusomeshe, tupambane. anayekuambia tuliwahi kutawala sijui wali anakupa faraja feki. Mwulize babu yako ni lini waliwahi kuwa majogooo katika dunia hii kama mwenyewe hajaishia kushanga jinsi Wajkoloni walivyokuwa mbele sana. tulikubali kuwa tumechelewa sana kuamka kutokana na ujinga wetu.
 
Back
Top Bottom