Usipo ziona tembe zinazoufanya mkufu wa matatizo yetu, hutajua chanzo Wala hatma, lakini SI kazi ndogo iliyofanyika kutufikisha hapa, kuanzia mapandikizi bandia ya mfumo dini, mfumo elimu, mfumo siasa, mfumo utamaduni, mfumo sayansi na tekinolojia vyote vimetumika kufanya uhalifu na dhuluma hii, kujikomboa tunakwenda ngazi kwa ngazi tukichimoa kila msumari, mkiambiwa dini hizo ukiristo na uislamu Ni kazi ya weupe kutufunga msukuleni, wengine wenu Hapa mnaanza kugombana....lakini ndilo tatizo lenyewe, wewe mweusi si wewe mpaka utoke kwenye usukule wa hii mifumo