Asante ndugu, alopandikiza mbegu ya ubaguzi wa rangi ni ibilisi, kote duniani ni MTU mweusi baba wa maendeleo, dunia ya zamani taswira ya Mungu alikuwa MTU mweusi, angalia asili ya dini za China na India, miungu yao mikuu ni watu weusi, asante ndugu, pole pole tutafika, chuki ilianza kama miaka 1500 iliyopita...kikubwa hapa MTU mweusi ni ajitambue, na kujikumbuka, kwenye tasnia ya magonjwa ya akili uko mmoja unaitwa amnesia, MTU kupoteza kumbukumbu zake,wengine baada ya kupata ajali, anapoteza kila kitu, anaanza moja, lakini kuna Siku kitu Fulani kikimtokea, wengine alididokewa na Nazi kichwani Basi kumbukumbu zote zina rudi ghafla, Mungu atusaidie tujikumbuke
Na ndivyo hivyo, hata Muhammad alijua dunia hii itabarikiwa mweusi akirudi nyumbani kwake, kufanya ibada zake