Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Huwajui wazungu, nimeishi nao, mabaya yao hawasemi, wala huyajui,yakifunuliwa yanatisha, hakika ni viumbe waliolaanwa
lakini asilimia 90 ya wa Waafrika wanataka wakaishi huko kwa hao unaodai wamelaniwa kisa kutafuta maisha mazuri waliyonayo... Daily waafrika wanafia Baharini wakijaribu kuvuka kwenda Ulaya. Acha tuendelee kujipa moyo walau hilo tunaliweza hatuwezi shindwa yote
 
Utajiri so ishara yabaraka, wala umaskini ya laana
Mimi naongea kwa mtazamo wa kidunia, yani aliyelaaniwa awe na maisha mazuri vifo vichache, huduma za afya nzuri, miundombinu mizuri, maisha mazuri halafu asiyelaaniwa maisha magumu, maji shida, vifo kwa kukosa madawa vingi, njaa magonjwa yani kila aina la balaa... kweli hii laana ya ajabu
 
lakini asilimia 90 ya wa Waafrika wanataka wakaishi huko kwa hao unaodai wamelaniwa kisa kutafuta maisha mazuri waliyonayo... Daily waafrika wanafia Baharini wakijaribu kuvuka kwenda Ulaya. Acha tuendelee kujipa moyo walau hilo tunaliweza hatuwezi shindwa yote
Ndugu, sababu we have been messed up, na muda wa Ku sort ourselves out umefika.....ndio tunajaribu kusafisha na kuvunja makufuli ya akili, karibu ujiunge nasi
 
Ndugu, sababu we have been messed up, na muda wa Ku sort ourselves out umefika.....ndio tunajaribukusafusha na kuvunja makufuli ya asili,karibu ujiunge nasi
aliyetu mess up basi alikuwa mjanja zaidi yetu maana si kwa balaa hili mpaka leo Korea Kusini wakijadili kuwawekea sehemu za kuchaji simu raia wao barabarani sisi bado tunajadili madawati kwa kila shule nalo limetushinda
 
Ukishajitambua, unachukua hatua.....ndio hatua ya kwanza, lakini wenzetu wengine hawajitambui, Bali wamekubali na kuridhia hali ya kukaa gerezani, wamejikatia tamaa mpaka basi, gani bora liende
 
Wa Asia ndiyo walijitambua sisi bado aisee... hivi ni nchi walau imejitambua labda Kaskazini mwa jangwa la Sahara kama ilivyokuwa Libya sema washenzi nao wakaharibu
 
Mimi naongea kwa mtazamo wa kidunia, yani aliyelaaniwa awe na maisha mazuri vifo vichache, huduma za afya nzuri, miundombinu mizuri, maisha mazuri halafu asiyelaaniwa maisha magumu, maji shida, vifo kwa kukosa madawa vingi, njaa magonjwa yani kila aina la balaa... kweli hii laana ya ajabu
Lakini makontena yadhahabu wanayo chukua huyaoni,shibe yao njaa yako hujui
Kibaya zaidi hutaki kuikubali hali yako, kufanya tathmini yamapungufu na nguvu yako, na kuchukuwa hatuathabiti zakujikwamua
 
Back
Top Bottom