Watu weusi ndio walivuka bahari kuu na kufanya ustaarabu kote Asia na Ulaya

Kwanini sisi tumeshindwa tengeneza mifumo imara mnayodai inawasaidia?
Jibu jepesi ni kwakuwa hatuna maarifa.
Kama mazingira unayoishi yanakutawala umeshindwa kuyatawala jibu ni kwamba yes ambaye ameweza kutawala mazingira ana akili zaidi.
Wewe huna maarifa, kwani hutaki kutoa suluhisho, bali ubishi furahisha jopo, na karibu ni tutakuchoka, tuendelee na wengine wanaouliza je ndugu tufanyeje kwa pamoja??
 
Ukinichoka unaacha kunijibu maana siyo lazima.
Maana utetezi mnaoutoa ni wa ajabu mara mifumo mara ulaghai mara sijui nini kwani hiyo mifumo si wameiweka wao kwanini sisi tushindwe, huo ulaghai kwanini tulaghaiwe kama sisi ni smart.
Hoja yangu kubwa ni kwamba tuache kujipa moyo kuwa tulikuwa sijui smart sisi ndiyo tulitawala na kueneza ustaarabu duniani wakati Afrika yetu mpaka leo iko hoi.
Hizo story tuachane nazo tutafute namna ya kujikwamua kuanza sasa ili baada ya miaka 30 tuwe kama hao alioamua kujikwamua kama china, singapore na nchi kibao za asia.
Haya mambo ya sisi tulikuwa bora hayatusaidii kwa sasa when you dream you have to wakeup and work on your dreams usipoamka utaendelea kuota na kuota mpaka uzikwe.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Lete hoja tatuzi,acha kujifanya mpita njia, nyumbani kwako mwenyewe
 
We vipi ndugu!!!!??? Unataka tuanze matusi??? Tushachoka na hoja zako za kipimbi!
Kutatua tatizo kwanza ni kukubari kuwa kuna tatizo so tukubari kuwa tulibweteka na tumezidiwa sana siyo kujipa moyo.
Pili tusitake kurukia mambo kwa kuanza kujenga sky scrappers na ma flyovers ili tufanane na miji yao hata wao hawakuanza hivyo.
Tujikite katika kuboresha mitaara ya elimu zetu ziendane na mazingira yetu siyo copy and paste.
china ilifanya mapinduzi ya kilimo kwa kuchanganya ujuzi wa nyenzo za kilimo zilizokuwa designed kiasili zikaboreshwa kwa ideas za kisasa.
Tuwekeze zaidi kwenye mambo yanayo wanufaisha wengi na yenye matokeo ya muda mrefu

Sasa unaongea vizuri asante sana kwa hoja zako nzuri,hicho ndio tunacho hitaji hapa!
 
Tuko pamoja mkuu. Unajua kinachotuponza Afrika ni sisi kutaka kuruka step tukidhani tutafika moja kwa moja walipo wao.
Chukulia mfano mdogo tu wa Tz, budget ya kilimo kila mwaka inashuka wakati ndiyo sekta yenye kuajiri watu wengi, utakuta pesa nyingi inaelkezwa kwenye ujenzi wa hayo ma flyovers.
Elimu yani inazidi kuwa ya ovyo ovyo sana. Haya mambo ya nani alivumbua ziwa victoria hayana impact kwenye jamii yetu.
Mitaara iandaliwe kukidhi mahitaji ya jamii yetu hata kipindi cha mkoloni walikuwa wanatoa elimu ikiwa na lengo la kupata watumishi wa chini wa kuwasaidia wao siyo kwamba walikuwa wanafundisha vitu ambavyo havina manufaa kwao.
Unasisitiza ujenzi wa viwanda wakatu umeme siyo wa uhakika hakuna viwanda pasipo kuwepo umeme wa uhakika na hakuna viwanda bila mali ghafi sisi hatuhitaji viwanda vya kutengeneza magari tunahitaji viwanda vya bidhaa ambazo tuna import kwa wingi kama nguo, karatasi, furnitures, vifaa vya jikoni kama masufuria, sahani vijiko, tuwe na viwanda vya kutosha vya vifaa vya ujenzi hayo ma viwanda ya magari yaje tu lakini siyo kipaumbele chetu
 
Nakuelewa sasa
 
Katika kipindi cha nyuma enzi za utumwa, utawala unapoanguka utawala unao waangusha unahakikisha cha kwanza una control ongezeko la watu especially wanaume, yaani mwanaume akizaliwa kuna mawili wamuue au wamkate uume ili wasiongezeke. Cha pili ni kuhakikisha wanaua tamaduni zao kwa maana wao ni watumwa lazima wafuate tamaduni za mabwana wao. Hicho ndicho kilichotokea kwenye mji mingi saveges wakizungu na wakiarabu walikuwa more brutal kwa african brother. Kwasababu walihofia uwezo wa kufikiria wa wale mabwana weusi.
Huu uzazi wa mpango wa sasa unafafanana sana na Hoja yako. Yawezekana ni mpango uleule wa kudhibiti ongezeko la watu duniani
 
Maelfu ya miaka watu weusi walikwenda bara Asia na Ulaya na kufanya ustaarabu huko, mtu mweusi ndiye aliyestaarabisha Dunia, uliyofundishwa darasani Ni historia changa mno, Tena ya karibu mno, mtu mweusi hujitambui, ungelijijua wewe....!!!!!! Dunia itatikisika, sisi tulikuwa wenyeji asilia wa bara la Asia na Ulaya maelfu ya miaka kabla ya biashara ya utumwa, kimsingi wenyeji asilia wa dunia ni sisi, mwalimu wako wa history anakwambia ulikwenda Ulaya Kama mtumwa???????!!!!!

The British, with the "Modern" Germans, were the originators of revisionist history. It was they who first began to write Blacks out of history after the “Race/Religious Wars" of the late medieval. Now look, the British will soon start teaching their children the truth: that Blacks were the original people of Britain. But please know, this is not the result of truth seeking, those truths were always known

mbona huku africa watu weusi hawaonyeshi ustaarabu kama walikwenda ulaya kufanya ustaarabu
 
Tuko pamoja mkuu. Unajua kinachotuponza Afrika ni sisi kutaka kuruka step tukidhani tutafika moja kwa moja walipo wao.
Chukulia mfano mdogo tu wa Tz, budget ya kilimo kila mwaka inashuka wakati ndiyo sekta yenye kuajiri watu wengi, utakuta pesa nyingi inaelkezwa kwenye ujenzi wa hayo ma flyovers.
Elimu yani inazidi kuwa ya ovyo ovyo sana. Haya mambo ya nani alivumbua ziwa victoria hayana impact kwenye jamii yetu.
Mitaara iandaliwe kukidhi mahitaji ya jamii yetu hata kipindi cha mkoloni walikuwa wanatoa elimu ikiwa na lengo la kupata watumishi wa chini wa kuwasaidia wao siyo kwamba walikuwa wanafundisha vitu ambavyo havina manufaa kwao.
Unasisitiza ujenzi wa viwanda wakatu umeme siyo wa uhakika hakuna viwanda pasipo kuwepo umeme wa uhakika na hakuna viwanda bila mali ghafi sisi hatuhitaji viwanda vya kutengeneza magari tunahitaji viwanda vya bidhaa ambazo tuna import kwa wingi kama nguo, karatasi, furnitures, vifaa vya jikoni kama masufuria, sahani vijiko, tuwe na viwanda vya kutosha vya vifaa vya ujenzi hayo ma viwanda ya magari yaje tu lakini siyo kipaumbele chetu
Sasa unaeleweka Mkuu. Kumbe mwelewa. Mi nilidhani nazungushana na kijana wa kijiweni. Hayo ndio tunataka kusikia
 
Mpaka kufikia karne ya 15 Africa and Europe were almost the same level in term of development ( economically... Technological... Socially) From 15 C European started to develop rapidly while African underdeveloped
 
Msingi wetu ulivunjwa, kwa kukubali kukumbatia tamaduni na desturi za wageni tukakimbia za kwetu.

Ni ngumu kufungua bongo za wengi. Elimu ya kujua historia ya malikia wa ulaya huko ndio zipo mashuleni, ila hatufundishwi historia na machimbuko ya kabila zetu na tamaduni. Zikiwepo ndio hizo hasi tu na wakazibatiza za kishenzi na sisi tukakubalu.

Ukatili wa weupe ukiwekwa wazi ni vita kubwa! Najiuliza king Philip akiwa anatawala hispania kama mtu mweusi mbona hayupo kwenye historia zao? Vizazi vya weusi hao hapo ulaya vilipotelea wapi? Na damu ya mweusi huwa haipotei sasa hao weusi walienda wapi? Hiyo nadhani ndio genocide ya kwanza kutokea duniani.

Hawa si binadamu, hitler alikua binadamu kwa hili nakiri hitler ni malaika.
Inatia uchungu mno.
 
Kila kumbe kina harufu Yale, ni process ya kikemikali ya mmeng'enyo wa chakula na vimiminika wa viumbe hai

Safi sana.Ungemwambia pia kua tuna harufu mbaya ya kinywa kwasabau tunakula acid food, ambayo walitupa hawa wagonjwa weupe. Pia hata end product yetu kabla ya acidic foods which isnt natural ilikua haina harufu. Thats according to Dr.Sebi, na limethitishwa hata leo pia hata jasho pia lisingeli kua na harufu.

Hivyo basi alkaline foods ambazo tulizitumia zilikua nzuri.They were perfect and natural from mother nature our healer. Na hivi tuvitumiavyo ni takataka zao baada ya kutuharibia asili na kulazimisha genetic modified seeds which are against mother nature our healer.
 
mbona huku africa watu weusi hawaonyeshi ustaarabu kama walikwenda ulaya kufanya ustaarabu
sema hatuonyeshi, sio hawaonyeshi: hivyo kumbe nwenzetu nzungu?
Kwani bado tupo msukuleni
Tukitoka msikitini na kanisani, na kurudi nyumbani, ndipo tutajikumbuka tulikuwa nani
 
Mpka Leo sijajua ni nini kinatufanya tujikweze ila nimeng'amua jambo1,mtu mweusi hana ustaarabu wowote ule na hatukuwahi kupoteza ustaarabu huo wala kuusambaza,mkuu wasumeria ndiyo binadamu wa kwanza kuwa na ustaarabu after wao wakafata wakush ambao ni misri and ethiopia,ile misri unayoiona(kemet)haikujicontrol yenyewe iliendelezwa na interaction ya hao wasumeria wa Iraq wakatwaa pale mambo yote yaliyokuwako kwao,so ile ni kama kituo tu but chimbuko la yote ni kule kwa kina nimrod....na mtu mweusi hajawai kuwa na akili kuzidi kizazi cha fallen angel never never never......
 
Back
Top Bottom